kuibiwa nyeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Kesi za watu wanaotukana zikikimbizwa kama kesi za wanaodai kuibiwa nyeti Tanzania haitakuwa na watukanaji kabisa

    Yani inakuwa Leo mahakamani kesho hukumu (kifungo na fine kwa pamoja) hawa watukanaji mitandaoni wataisha wote nakwambia tunawalea sana. Kesi zikimbizwe watu wataacha tu, yani unatukana Leo unakamatwe kesho kesi keshokutwa hukumu. Na kusiwe na dhamani iwe ni operation futa matusi nchini. Na...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tanga: Watu watano mbaroni kwa kuzua taharuki kuibiwa Nyeti

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kumshambulia na kumjeruhi mtu pamoja na kuzua taharuki katika jamii kufuatia matukio mawili tofauti yaliyotokea katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo. Akizungumzia matukio hayo, Jeshi la Polisi lilieleza kuwa tukio la kwanza...
  3. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Kizembe kabisa Kuna watu wanaenda kuozea magerezan kwa uzushi wa kuibiwa nyeti baada ya kusababisha vifo

    Amani kwenu watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kwaresma imeisha salama sasa tuko tunaendelea kusherekea pasaka na leo ni jumatatu ya pasaka Kila siku mimi kama Beira boy katekista wa parokia ya st Joseph huwa nawasisitizia vijana wenzangu kuwa uchawi haulipi na imani za kishirikina siyo...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuibiwa na kupotea kwa Nyeti ni symbolism inayoelezea hali inayoweza kuwa inaendelea nchini

    KUIBIWA NA KUPOTEA KWA NYETI NI SYMBOLISM INAYOELEZEA HALI INAYOWEZA KUWA INAENDELEA KWENYE NCHI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Kwa Sisi wataalamu wa Lugha, Saikolojia na sosholojia tunajua kuwa Kila kitu kwenye jamii hakitokei kwa nasibu(bahatibahati). 2. Kila unachokiona kinatokea...
Back
Top Bottom