Kuibuka kwa 'Babu wa Loliondo' wakati wa Sakata la DOWANS....

Kuibuka kwa 'Babu wa Loliondo' wakati wa Sakata la DOWANS....

View attachment 3462944
Kwani kipindi kile kulikuwa na jambo gani mpk watanganyika tuingizwa kwenye huu mtego.

Humu kuna wakubwa walio wahi kujoin jf kipindi hiko.
Niliwahi kusikia kwamba yule Babu ilikuwa project ya serikali ya kipindi kile ambayo ilitengenezwa na kina Mzee Lowassa.

Lengo ilikuwa kuwasahaulisha wabongo na kuwahamisha kwenye mada ya ufisadi mkubwa uliofanywa kipindi kile na kubwa zaidi yule kigogo wa B.O.T ambaye ilisemekana amekufa na kuzikwa ughaibuni lakini wajanja wakastukia mchezo kwamba mwamba yuko ulaya anakula Bata😀

Kipindi hicho ndo mitandao ya kijamii inaanza kuenea watu wakaanza kuyajua mengi ndo ikabidi iandaliwe project ambayo ilisukwa kwa ufundi mkubwa na kupigiwa promo kubwa ndani na nje ya nchi story ikawa ni Babu wa Loliondo.

Mpaka kuja kustuka miaka ishapita wakasahau kabisa
 
Niliwahi kusikia kwamba yule Babu ilikuwa project ya serikali ya kipindi kile ambayo ilitengenezwa na kina Mzee Lowassa
Lengo ilikuwa kuwasahaulisha wabongo na kuwahamisha kwenye mada ya ufisadi mkubwa uliofanywa kipindi kile na kubwa zaidi yule kigogo wa B.O.T ambaye ilisemekana amekufa na kuzikwa ughaibuni lakini wajanja wakastukia mchezo kwamba mwamba yuko ulaya anakula Bata😀
Kipindi hicho ndo midandao ya kijamii inaanza kuenea watu wakaanza kuyajua mengi ndo ikabidi iandaliwe project ambayo ilisukwa kwa ufundi mkubwa na kupigiwa promo kubwa ndani na nje ya nchi story ikawa ni Babu wa Loliondo
Mpaka kuja kustuka miaka ishapita wakasahau kabisa
Kama kusukwa basi ilisukwa haswa haitokuja kutokea kama vile.
 
198092_191516467550802_100000773500533_417991_4735646_n-jpg.25598
 
Back
Top Bottom