Kuibuka kwa 'Babu wa Loliondo' wakati wa Sakata la DOWANS....

Nilikuwa nipo sijui kidato cha ngapi ila Bwenini kila mtu alitaka aende mana kuna wapumbavu walisema kinaongeza memory.
Ujinga tu ...Mimi nilikuwa kazini mbunge akatoa mabasi watu waende ...wafanyakazi wote naowafahamu walioenda walikufa ..eti waliacha dawa zao wengi walikuwa na kisukari, moyo n.k wengine Ngoma .... Viliibuka vikombe vingivingi sana .... Wabongo sisi ni wajinga sana....
 
Huyo wa sukari alikuwa anatafuta sababu tu ya kuwahi ahera mana majibu yake aliyapata ndani ya siku 2 tu.

Kuna umri ukifika inabidi uelewe kuwa wewe sio kijana.
 
Hapa aliondoka mmama flani hivi aliyekuja kwetu na kubadili maisha ya nyumbani kwa kiasi kikubwa. Mungu amrehemu huko aliko.
 
Mpaka sasa tunaendelea kudanganyika,maana kuna washenzi na wachumia tumbo wanaamini kwamba bibi chura makengeza wa kizimkazi anapendwa sana na ataleta maendeleo tukimpa miaka yake mitano atuongoze"wadanganyika" UPUMBAVU ULIOKUWEPO KIPINDI HICHO NDIO UNA REFLECT KIZAZI CHA SASA" yaani sisi ni majuha to ze maximum [emoji16]
 
Wapumbavu...ndiyo matokeo ya yale matoto mpumbavu yanayo sema bora unitukanie baba yangu kuliko mama yangu...
Kama niliwahi kusema hivi wakuu naombeni msamaha.😆😆😆
 
Mpaka sasa tunaendelea kudanganyika,maana kuna washenzi na wachumia tumbo wanaamini kwamba bibi chura makengeza wa kizimkazi anapendwa sana na ataleta maendeleo tukimpa miaka yake mitano atuongoze"wadanganyika" UPUMBAVU ULIOKUWEPO KIPINDI HICHO NDIO UNA REFLECT KIZAZI CHA SASA" yaani sisi ni majuha to ze maximum [emoji16]
Bado tuna nafasi japo mda upo mchache tu.
 
FB_IMG_1756844823396.jpg
 
Back
Top Bottom