Tunakuwa cooked hatari.Hiyo ilikuwa ni project ya jk kuwa pumbaza wadaganyika na issues ya escrow, Richmond, iptl.
Project ya Sasa ni mwamposa.
Imagine Kila kiongozi wa CCM anakuja na project ya kuwahadaa wananchi ?
Ccm ni mashetani kabisa
Huyu kafata nini. tena huku jf mana wadada wa kenya wana mtafuta mganga wa kuponya machizi walipie matibabu.
Si alioteshwa sasa hizo sumu zimetoka wapi.Waliopona ni wengi sana, wadhungu walitia sumu ile miti ya babu mwasapile
Kwanini wanamtafuta kafanyajeHuyu kafata nini. tena huku jf mana wadada wa kenya wana mtafuta mganga wa kuponya machizi walipie matibabu.
mtu mzima ww. UshaelewaKwanini wanamtafuta kafanyaje
Niliwahi kusikia kwamba yule Babu ilikuwa project ya serikali ya kipindi kile ambayo ilitengenezwa na kina Mzee Lowassa.View attachment 3462944
Kwani kipindi kile kulikuwa na jambo gani mpk watanganyika tuingizwa kwenye huu mtego.
Humu kuna wakubwa walio wahi kujoin jf kipindi hiko.
Kama kusukwa basi ilisukwa haswa haitokuja kutokea kama vile.Niliwahi kusikia kwamba yule Babu ilikuwa project ya serikali ya kipindi kile ambayo ilitengenezwa na kina Mzee Lowassa
Lengo ilikuwa kuwasahaulisha wabongo na kuwahamisha kwenye mada ya ufisadi mkubwa uliofanywa kipindi kile na kubwa zaidi yule kigogo wa B.O.T ambaye ilisemekana amekufa na kuzikwa ughaibuni lakini wajanja wakastukia mchezo kwamba mwamba yuko ulaya anakula Bata😀
Kipindi hicho ndo midandao ya kijamii inaanza kuenea watu wakaanza kuyajua mengi ndo ikabidi iandaliwe project ambayo ilisukwa kwa ufundi mkubwa na kupigiwa promo kubwa ndani na nje ya nchi story ikawa ni Babu wa Loliondo
Mpaka kuja kustuka miaka ishapita wakasahau kabisa
Thibitisha basi nipate kuelewamtu mzima ww. Ushaelewa
Wapi wewe. Baba wa taifa alikuwa sahihi sanaLakin kuna watu walipona magonjwa yao,hutakiwi kubeza
Tembelea hata huko insta utaona habari zake.Thibitisha basi nipate kuelewa
Tutafika tumechoka sana. Elimu ni kitu cha muhimu sana kwa taifa.View attachment 3462944
Kwani kipindi kile kulikuwa na jambo gani mpk watanganyika tuingizwa kwenye huu mtego.
Humu kuna wakubwa walio wahi kujoin jf kipindi hiko.
Habari nshazipata nataka uthibitishoTembelea hata huko insta utaona habari zake.
Huo ni mgumu kuutoa hapa.Habari nshazipata nataka uthibitisho
Utoe pm bas nyaubikra nami nsipitweHuo ni mgumu kuutoa hapa.
Nikiupat ntautuma.Utoe pm bas nyaubikra nami nsipitwe
PouwaaaNikiupat ntautuma.
eNdeleeni na ubishi wenuWapi wewe. Baba wa taifa alikuwa sahihi sana
UongoooWapo wamepona mpaka ukimwi