Kuibuka kwa suala la bandari ya Bagamoyo ni uthibitisho kuwa Kikwete ndo anaeongoza nchi kwa sasa!

Prof. Assad alisema bunge letu ni dhaifu sana... Halina tofauti na mbwa koko! Wao ndo wawakilishi wa wananchi ila hamna siku utasikia wakidai uwazi wa hyo mikataba! Wabunge wamewasaliti wananchi wamekua watetezi wa serikali!
 
Kikwete hana uchungu na Tz. Alishatupiga gesi asilia ya Mtwara.
 
Mkuu, mpaka dakika hii hujajua? Mama ni kivuli tu pale, hana uwezo yule, anapewa maelekezo kutoka Msoga. Amekwishapangwa yule
 
Shetani mtu kafa mtasema yote!
 
Haya mambo haya..
 
Hili neno BEBERU ni la karne ya 16 waTZ bado mna mawazo ya kale Sana
 
wapiga dill wa nchi hii walikuwa wamepumzika kidogo sasa nafikiri wataenda kuigawana hii nchi naona wanarudi kwa kasi ya umeme
 
Hongera sana kwa kumchambua huyo shetani mtu! Uchambuzi huu unafaa kuanzishia uzi mpya ili watu wasipotoshwe!
 
Hili neno BEBERU ni la karne ya 16 waTZ bado mna mawazo ya kale Sana
Kwani mabeberu wamekoma kuwepo,walikuwepo na wataendelea kuwepo,kwa mantiki hivyo neno nalo litaendelea kuwepo!
 
Poor argument!
 
Huko hata kama ulipigwa lakini nchi yako bado unayo ikiwa kamili utayasahau machungu baada ya muda kidogo. Huko kwenye Bandari ya Bagamoyo utapigwa na nchi yako itamegwa kupewa Wachina ambao mnapenda kuwaita "marafiki na ndugu zetu"
Toa reference sio unaropoka tu
 
You said it all [emoji419]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] MATAGA mtakoma awamu hii
Simlikuwa mnafurahia lile shetani lenu lilivyokuwa linajiona Mungu Mtu na kuwadhalilisha watangulizi wake ... Alisahau kuwa yeye Ni wakuja tu Mjini aliwakuta watoto wa Mjini na ndio waliomuachia kiti akaanza kuwatukana na kuwakashifu , keki ya Taifa akawa anaila yeye mwenyewe na watu wake huku anawazubaisha watanzania kuwa yeye Ni mzalendo haya Sasa wajanja wamemtafuna [emoji3][emoji3][emoji3] mtajua hamjui awamu hii
 
Ndiyo maana aliwakumbatia vijana wauaji mfano Bashite, yule mjinga DC wa hai, Mnyeti na kufuru ya yote Musiba.

Makonda nimeona picha yake kaa kwenye kochi karibu na mtu flani hivi.

Hakuna kitu kama ulaghai wa wachina. Uko ulaghai wa tulio wa amini na kuwapa dhamana. Wachina wametumiwa tu baada ya kulinda maslahi yao hayo mengine ya kuchomekwa hayawahusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…