Kuibuka kwa suala la bandari ya Bagamoyo ni uthibitisho kuwa Kikwete ndo anaeongoza nchi kwa sasa!

Biashara ya ndege siyo ya nyanya a la Costantine Kanyasu(MB)
 
Acha tu arudi kwa mlango wa nyuma, tunamuhitaji.
Huyu usiyemtaka alitaka kujenga sgr kwa kuingia mkataba na exim bank, mwendazake akasema pana upigaji.
Atajenga kwa pesa ndani, alikusanya pesa kwa mabavu bila kutumia akili

Wafanyabiashara wakafunga na wengine kuhamisha mitaji.
Akaanza kuwaaba machinga, haikutosha akawafanya polisi kuwa Tra barabarani bodaboda walikuwa wanakamatwa kisheni kishenzi licha ya magari

Haikutosha, akarudi kule alikosema kuna upigaji kukopa.
Kama mnataka mikataba, basi yote iletwe toka 2015.
Achani upuuzi
 
Umewahi kuuona huo mkataba au unahsi tu alichosema mwendazake ni sahihi kama ambavyo unahisi kinachosemwa sahivi ni sahihi.?
 
Asante Mkuu, yote Tisa! Balaa alilotaka kuleta ni "KUTAWALA BILA UKOMO" na hii alitaka kufanya ili asitokee yeyote Kuja kua Rais maana tutajua madudu yote aliyofanya! Mungu akadhihirisha ukuu wake, Maskini wa Mungu Mitano tena kumbe ni miezi.
 
Tuache kusema yasiyokuwepo.
Anaendesha nchi kwa sasa ni Mama Samia
Basi tuseme alokuwa anaendesha nchi kipindi cha Magufuli ni Mkapa..kila mtu anaemshauri wake ,mkuu wa mkoa hawezi kushauriwa na na Mkuu wa wilaya kuendesha mkoa.
Mkapa alisema katika kitabu chake ,tafuta mtu alokuzid au alokutangulia awe mentor wako...mama hajasema mentor wake kama ni JK.
tusilishane matango pori wajameni
Mradi wa Bagamoyo n mzuri kama utafanyika ila sio lazima apewe mchina ,na hata kama akipewa basi mkataba uwe na maslahi.
 
Kuna haja ya kuweka mikataba yote wazi ili sisi wenye nchi tuijue kabla ya kupitishwa na serikali

Hakuna kuangalia makunyanzi. Yote ikiwamo ya Busisi na ile international airport yetu pendwa.
 
Dah, taifa letu liko njia panda, hata speaker!? Kumbe hatuna viongozi,aliyekuwa na huruma na Wananchi ni Magufuli tu.

Hata kina Ben, Azory, Lissu na wengi wengine walikuwa wananchi pia.

Hiiiiii bagosha!
 
Maelezo marefu pumba tupu.
 
Hata kina Ben, Azory, Lissu na wengi wengine walikuwa wananchi pia.

Hiiiiii bagosha!
Walikuwa wananchi yes,lakini hawakuwa na the best interests of our country at heart,walikuwa egocentric.
 
Je, Mh Ndugai ameamua kuwa kibaraka wa mabeberu baada ya hayati kututoka?

Ni dhahiri kuwa JK aliutamani sana mradi huo ili aache legacy kwa watu wake wa Bagamoyo.
Kwa hiyo siku zooooteee tulizokuwa tunaimbiwa… MABEBERU.. MABEBERU… MABEBERU.. Kumbe BEBERU mwenyewe ni JAKAYA MRISHO KIKWETE?
 
Walikuwa wananchi yes,lakini hawakuwa na the best interests of our country at heart,walikuwa egocentric.

Best interest of our country at heart inapimwa je?

Egocentricity? Mwendazake hakuwa nayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…