Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Nadhani wale kina mama huwa wamepangwa, kama yule mchoma mahindi, mwenye mguu wa kuku kiunoni.Haya maigizo wanafanya ili anayejiita mtetezi wa wanyonge aonekane kweli anatetea wanyonge
KWA SABABU KAZI YAO IMEHAMA(WAMEACHA KAZI YA) KUTOKA KUHUDUMIA WANANCHI HADI KUMUABUDU NA KUMTUMIKIA RAISKumekuwa na tabia iliyozoeleka Sasa ya wanainchi wakiwa na Mabango ya kero mbalimbali mbele ya Rais Magufuli. Hii ni Ktk ziara zake mbalimbali za kuwatumikia wanainchi.
Je hali hii inamaanisha ni Kushindwa kwa viongozi wa kisiasa/wawakilishi na watendaji/watumishi wa umma ktk kazi zao?
Mkulima alikuwa sahihi kwa sababu Mzungu alikuajiri wewe uwasaidie Wakulima lakini ukawa huwasaidii kwa hiyo wakimpigia simu tu wakawa wanasaidiwa ndo maana wewe siyo mwajiriwa tena wa Mzungu, ulitumbuliwa. Vivyo hivyo wananchi wanamfuata Mteuaji na mabango kudai haki zao kwa sababu wateule wake aliowajaza huko kwaoNiliwahi kufanya kazi katika kampuni moja ya kilimo ya wazungu mkoani Iringa. Unakuta shida ndogo tu ambayo mimi ningeweza kutatuta ila mwanakijiji anakwambia "sitaki kuongea na wewe, nipe number ya simu ya boss wako mzungu ndio atanisaidia"
Kwa hiyo sisi binadamu tuna hulka sana ya kupenda kupewa attention ya mamlaka za juu pamoja na watu wenye status kubwa ndani ya jamii.
Utamaduni wa hovyo sanaHulka tu za wananchi kutaka watu watumbuliwe, huku wakiamini matatizo yanaweza tatuliwa kwa siku na mtu mmoja.
Ukweli mtupuNi kweli watendaji wa serikali wengi wao ni miungu watu sijui huwa wanawaza nn wakiwa maofisini jaman yaan unakuta shida ndogo tu au umepeleka barua inachuku mwenzi kupata majibu ya siku moja...hasa manispaa na wilaya.
Kumekuwa na tabia iliyozoeleka Sasa ya wanainchi wakiwa na Mabango ya kero mbalimbali mbele ya Rais Magufuli. Hii ni Ktk ziara zake mbalimbali za kuwatumikia wanainchi.
Je, hali hii inamaanisha ni Kushindwa kwa viongozi wa kisiasa/ wawakilishi na watendaji/ watumishi wa umma katika kazi zao?
Kama nilikuwa siwasaidii ama ninawasaidia hiyo Mungu ndio anajuaMkulima alikuwa sahihi kwa sababu Mzungu alikuajiri wewe uwasaidie Wakulima lakini ukawa huwasaidii
Nilitumbuliwa ndio maana nikaamua kuwa Taxi Driver. Karibu sana nikupe hudumaMkulima alikuwa sahihi kwa sababu Mzungu alikuajiri wewe uwasaidie Wakulima lakini ukawa huwasaidii kwa hiyo wakimpigia simu tu wakawa wanasaidiwa ndo maana wewe siyo mwajiriwa tena wa Mzungu, ulitumbuliwa.
Alafu ukiwaambia ukweli watasema, "unatufundisha kazi sasa!!'Ni kweli watendaji wa serikali wengi wao ni miungu watu sijui huwa wanawaza nn wakiwa maofisini jaman yaan unakuta shida ndogo tu au umepeleka barua inachuku mwenzi kupata majibu ya siku moja...hasa manispaa na wilaya.
Au ulikua unasaidia tu wale Wananchi wenye Maslai,maana rushwa nayo ni tatizo kubwa sana huko Maoficini!!Kama nilikuwa siwasaidii ama ninawasaidia hiyo Mungu ndio anajua