Kuibuka kwa wimbi la Ujambazi hasa DSM ni kukomoana ndani ya Jeshi la Polisi?

"Je, ni kwamba bila mimi hapo DSM mambo hayataenda?"

[emoji121][emoji121]
Wewe ni MAMBOKALE au nani?
 
Ujambazi mbona unakuzwa sana
Ujambazi upo kila nchi
Tena sahv majambazi wabaya zaidi ni wale wanaotumia kalamu

Ova
 
Enzi za marehemu taarifa mbaya ulikua huzisikii ilikua ni taarifa zinahusu kuvunja rekodi faini
 
Au ww ndio jambazi mwenyewe??
 

Mama si alisema ameruhusu wawekezaji waache tu waibe
 

Imewekwa kanda maalumu sababu ya Idadi ya Polisi haiwezekani Polisi idadi ya polisi 2000 katika mfano wilaya ya Kinondoni wakawa wanaongozwa na SSP

Jeshini ukiwa mkuu wa Unit halafu chini yako kuna Subsequent SubUnits Zaidi ya Tano inakuwa umepewa mzigo wewe kama kamanda ,sasa OCD ambapo Ma"OCS" wanaripoti direct kwako MaOCS zaidi ya 20 sio mpango
 
Kwan kuna mtu amekataa kwamba haukuwepo ulikuwepoo ila now umezidiii
 
Nchi hii kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake,maofisa wa CAG wanaomba rushwa kwa wakurugenzi wa taasisi Ili watengenezewe ripoti safi.
Takukuru wanabambikia watu kesi Ili wawakamue pesa,
Wizara ya ujenzi,hupati kibari Cha ujenzi mpaka Utoe rushwa,polisi huko ndio usiseme,ni kama majambazi,
Pale Kahama nilishuhudia wanavamia guesthouse usiku,wanagonga vyumba kwa mateke Ili ufungue,wakikuta hujaandika kitabuni unaperekwa kituoni,au Utoe pesa.
 
Ni kweli ila sasa hii so rushwa ya kitoto inayoongelewa hapa, tatizo ni mkono wa baadhi ya polisi wachafu, mkono usioonenaka kuwapa Kiburi majambawazi.
 
Aisee.... sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…