Uchaguzi 2020 Kuichagua CCM ni kuchagua mateso makubwa

NAWAKUMBUSHA TU WAKUU.

Tanzania ni moja kati ya The Poorest Countries in the World (MASIKINI ZAIDI DUNIANI) inashika nafasi ya 8 kutoka chini. ( Focus economy 2019- 23)
MIAKA 60 YA UHURU.

CCM imetufikisha hapa
 
Hahahah jomba unacheza na watanzania..naona...muulize Mange Kimav akueleze watanzania wakoje..mchana wanaweza kukuchekea ukadhan ume win..njoo kwenye sanduku la Kura Sasa uone..
Kula ccm kura kwa Tundu Lissu
 
Kuchagua CCM ni kuwafungia zigo la mateso makubwa Wananchi. Ni kuchagua maumivu makubwa kwa Watanzania ni lazima tuwe makini zaidi.

1. Kuchagua CCM ni kuchagua watu kuendelea kupotea bila kujua walipo, ni kuchagua watu kuendelea kupigwa risasi na wasiojulikana bila kuwajua ni kina nani.

2. Kuichagua CCM nikuchagua kutumia pesa za miradi mingi kutumika bila kupitishwa na bunge. Hapa ni kuchagua pesa zetu kutumika hivyo huku tukidanganywa eti wanawajali wanyonge.

3. Kuichagua CCM ni kuchagua kuibadili katiba ili Magufuli aendelee kutawala zaidi ya miaka 10, Ndungai na Ally Kesy wanalijua hili.

4. Kuchagua CCM ni kuchagua vyombo vya habari kunyimwa uhuru wa kusema. Ni kuchagua kunyima sauti za wananchi.

5. Kuichagua CCM ni kuchagua Mateso makubwa kwa watumishi wa umma kutoongezewa mishahara na malimbikizo yao.

6. Kuichagua CCM ni kuchagua kilio kwa wanafunzi elimu ya juu makato makubwa 15% na ubaguzi mkubwa kwenye utoaji mikopo.

7. Kuichagua CCM ni kuwaumiza Wastaafu kutopata nafasi yao mapema na kuchagua kukosa fao la kujitoa.

8. Kuichagua CCM ni kuchagua Mama zetu kujifungua kwa gharama kubwa mahospitalini.

9. Kuichagua CCM ni kuchagua mifumo mibovu ya biashara na kuendelea kuzorota kwa biashara na pesa kuwa ngumu.

10. Kuchagua CCM ni kuchagua kuzorotesha bei za mazao yetu kama vile Korosho, Kahawa, Pamba ni.

MTANZANIA ZINDUKA ACHANA NA CHAMA KILICHOCHOKA HAKINA MSAADA KWAKO. ACHANA NA MAUMIVU HAYA.
Na wewe ni great thinker?
 
Atakayebisha haya ni mchumia tumbo wa Lumumba. Wananchi tuna JAMBO LETU rarehe 28/10/2020.
 
NAWAKUMBUSHA TU WAKUU.

Tanzania ni moja kati ya The Poorest Countries in the World (MASIKINI ZAIDI DUNIANI) inashika nafasi ya 8 kutoka chini. ( Focus economy 2019- 23)
MIAKA 60 YA UHURU.

CCM imetufikisha hapa
Kwa hiyo Nani unadhan anaweza kututoa hapa
 
Back
Top Bottom