Kuifanya League ya Tanzania a Better Product

Kuifanya League ya Tanzania a Better Product

Na suala la udhamini pia timu zetu zimefanikiwa sana, siku hizi hakuna timu ya ligi kuu ambayo utakuta kifuani kwenyw jezi zao kupo plain hakuna mdhamini..

Kuna baadhi ya club ndogo tu kama Namungo, Geita Gold, Singida big stars na nyinginezo utakuta zina wadhamini zaidi ya watano na kuendelea
Naam na nadhani hilo limewezekana sababu wengi wanaziona hizo timu kwenye luninga zamani usingeziona labda zije mara moja kwa mwaka sehemu ulipo ila siku hizi uki-tune unaweza kuwaona.... Issue kubwa ambayo bado hatujaiweza ni kukuza ushindani...
 
Back
Top Bottom