Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kwa Tanzania ili timu ijue ubora wake ni lazima icheza na Simba na kuifunga.
Ndiyo maana timu nyingi zinapocheza na Simba uahidiwa mamilioni ya fedha tofauti zikicheza na timu nyingine.
Timu yoyote ile ikiifunga Simba, furaha ya wachezaji wake, makocha, viongozi na mashabiki huwa kubwa sana na timu nyingi hufanya sherehe.
Timu inayoifunga Simba huonekana ubora wake hautiliwi shaka na inakuwa ni kumbukumbu kubwa Kwa timu husika.
Soma Pia: Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025
Na kama timu imejaa washamba watu wa kulimbuka, ndiyo utakuta wanachonga mabango na kuyatandaza barabarani na hata upite muda mwingi kiasi gani, Kila wakikumbuka hufanya sherehe za kunywa supu hata kama ni za kibudu.
Kwa kweli kama timu yako haijawahi kuifunga Simba, Bado haijawa timu bora.