Kuiita "Pesa" hela ni kuikosea adabu itakuadhibu vibaya sana

Sina mood

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
248
Reaction score
1,442
Kuiita "Pesa" hela ni kuikosea adabu.

Ulishindwa kuiita pesa iite basi fedha, acha kuiita hela. Maana itakukimbia siku zote na hata ukipata utaipata kiduuuuchu!

Wewe watazame matajiri, wanaiheshimu pesa na huwezi kuwakuta wanaiita hela.
 
Mkuu inawezekena Ni elimu duni tuliyonayoo. Kwa kuanzia tunaomba kujua tofauti Kati ya pesa,fedha na hela.. tuanzie hapo
 
Heller ni jina lililotumika na wajerumani kwenye sarafu zao zilizotumika Tanganyika na makoloni yake miaka hiyo wakitawala, hivyo waswahili tukamaanisha fedha yoyote ni hela, hivyo hawajakosea hakuna tofauti kati ya fedha na hela!!!
 
Hela ikienda jua hairudi kula bia na maku ila jenga wekeza nunua na viwanja mbele hutajutia sana..
 
Nmekuelew sana hapo hii kitu na mm nimewah kuipitia kidog katika usomaji wangu Wala hujakosea mkuu nilitaka kuelewa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…