Kuijumuisha Al Hilal ya Sudan kwenye ratiba ya ligi ya NBC ni jambo la kupongeza

shida pia ni hii,wanaweza kuwaumiza wachezaji wetu wa first 11 kwa makusudi
 
Haina maana kucheza ligi kuu.
 
TFF wasije wakaruhusu huu ujinga. Hakuna sababu ya kuleta huo mkanganyiko kwenye ligi yetu.
 
Toa hoja acha blah blah..sasa ww hapo umeongea nini zaidi ya kuponda vijana wa mzee Rage? Sema neno tupone.. πŸ˜‚
Kiufupi hilo ni jambo lisilowezekana. Na iwapo hiyo timu itajumuishwa kweli, basi tutegemee mvurugano mkubwa kwenye ligi yetu.
 
India waliona siyo tabu wakawapa eneo lao (Pakistan) lkn bado yanapigana tu.
Hebu muwe mnasoma jamani , mnatia aibu Kwa ujinga mnaoandika
Yaani hata hujui kua Pakistan na India Ni nchi mbili tofauti ?
 
Kweli ndomana wao ndyo chanzo cha vita ya kwanza na ya pili ya dunia.....pia hata wale wanaouwa watoto kule hospital Ghaza ni waarabu
Hawa watu wamekua too much brainwashed,huwezi kuwaeleza kitu kuhusu wazungu ,yaani wanaona kama Miungu vile
 
Mmh, mbona wasomali na wasudan wanazaliwa kibao tu bongo hadi wengine ni waviongozi wakubwa serikalini hadi kwny michezo?

Hili hulijui, unaishi wapi kwani?
 
Itakua huo ukoko wao na kukosa exposure kunawavuruga...
 
Hao Al hilal wakija,wakutane na majini ya Yanga wataondoka kimya kimya kurudi kwao..πŸ˜‚
 
Kiufupi hilo ni jambo lisilowezekana. Na iwapo hiyo timu itajumuishwa kweli, basi tutegemee mvurugano mkubwa kwenye ligi yetu.
Kama watawaruhusu wawe washindani tu kwenye ligi na kuwania ubingwa, wao wanasema uwanja wao wa nyumbani utakuwa Benjamin Mkapa au Azam, sasa timu gani itoke kigoma,mbeya,kagera ije kucheza mechi ambayo point hamna?ni kuongeza tu gharama zisizo na maana kwenye vitimu vya ligi kuu
 
Hao Al hilal wakija,wakutane na majini ya Yanga wataondoka kimya kimya kurudi kwao..πŸ˜‚
Aisee mbona mumewaandama YangaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Hayo majini mmeyaonaa!?
 
Aisee mbona mumewaandama YangaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Hayo majini mmeyaonaa!?
Si unajua ushabiki wa hizi timu..tunatania lolote lililotrendπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜Š
 
Itakua huo ukoko wao na kukosa exposure kunawavuruga...
Si kama wapemba tu wa huko Zanzibar,bibi zao waliozaliana na waarabu wanajikuta wao special na ubaguzi juu!?
Yani kweli wana lack exposure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…