Kuijumuisha Al Hilal ya Sudan kwenye ratiba ya ligi ya NBC ni jambo la kupongeza

Embu lete ushahidi kaka.
Unataka uletewe LESENI YA KLABU humu JAMII FORUMS? Hiyo timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA SUDANI ambayo inaitwa AL HILAL OMDURMAN, kwa jina lingine huwa wanaitwa SIMBA WA BLUU au "BLUE LIONS".


Wamiliki halali wa timu ya mpira wa miguu ya SIMBA SC inayoshiriki LIGI KUU YA TANZANIA, ndiyo wamiliki halali wa timu ya mpira wa miguu inayoitwa AL HILAL OMDURMAN inayoshiriki LIGI KUU YA SUDANI.


Hata majina yanafanana katika LESENI ya KLABU YA SIMBA SC pamoja na KLABU YA AL HILAL OMDURMAN.

Ndiyo maana walikuja kuweka kambi katika TAIFA LA TANZANIA na sio katika MATAIFA JIRANI kama MISRI, ETHIOPIA, ERITREA na CHAD.
 
Mmh sijui ila bado kama huu ushahidi hautoshelezi mkuu.
Maana kwa financial muscle Al hilal ina pesa kushinda klabu zetu za Tanzania kuipita hata Azam FC.
Inamaana huyu mmiliki anai nourish sana Al hilal kuliko Simba??
 
Una ambiwa ghalama zote wanalipa wenyewe.
Wanaghalimia kila kitu kwa timu pinzani.
Iwe wanacheza nyumbani au Ugenini.
Si unalijua lile tajiri lao.
 
Mmh sijui ila bado kama huu ushahidi hautoshelezi mkuu.
Huu ndiyo UKWELI wenyewe 🙏🏾
Maana kwa financial muscle Al hilal ina pesa kushinda klabu zetu za Tanzania kuipita hata Azam FC.
AL HILAL OMDURMAN ni timu kubwa, sema sasa hivi imeyumba kutokana SIASA ZA SUDANI. Kule kulikuwa kuna VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE.
Inamaana huyu mmiliki anai nourish sana Al hilal kuliko Simba??
Ni kutokana na UBORA WA LIGI. LIGI KUU YA SUDANI ipo juu ukilinganisha na LIGI KUU YA TANZANIA na ukijaribu kuangalia michuano ya KLABU BINGWA AFRIKA iliyopita, timu za SIMBA SC, KAIZER CHIEFS pamoja na AL HILAL OMDURMAN zote zilikuwa zinafanana majina katika LESENI YA UMILIKI. Hata timu ya RAJA CASABLANCA kutoka katika TAIFA LA MOROKO ni hivyo hivyo.
 
Kwani hutaki uraia pacha🤣
 
Si kama wapemba tu wa huko Zanzibar,bibi zao KUZALIANA(edited)na waarabu wanajikuta wao special na ubaguzi juu!?
Yani kweli wana lack exposure.
Hilo neno ulilohighlight lina undermine majadiliano ya kiungwana, unaweza ukaliedit tafadhali.

(Niwie radhi kwa kuazima maneno ya kiingereza)
 
Huyo alievaa wigi kama la Mange kimambi ndo mtanzania?
Wachezaji wote weusi ni WATANZANIA, kasoro hao WAHABESHI. Hadi KOCHA FLORENT IBENGE ni MKONGOMANI mwenye asili ya TANZANIA aliyehamia nchini KONGO kipindi cha miaka ya tisini [1990's] akitoka katika MKOA WA SHINYANGA.
 
Hili jambo liliishia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…