Embu lete ushahidi kaka.AL HILAL OMDURMAN ni timu ambayo inajumuisha wacheza mpira wengi wenye asili ya TANZANIA na inamilikiwa na MTANZANIA, ndiyo maana waliomba kushiriki LIGI KUU YA TANZANIA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Embu lete ushahidi kaka.AL HILAL OMDURMAN ni timu ambayo inajumuisha wacheza mpira wengi wenye asili ya TANZANIA na inamilikiwa na MTANZANIA, ndiyo maana waliomba kushiriki LIGI KUU YA TANZANIA.
Unataka uletewe LESENI YA KLABU humu JAMII FORUMS? Hiyo timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA SUDANI ambayo inaitwa AL HILAL OMDURMAN, kwa jina lingine huwa wanaitwa SIMBA WA BLUU au "BLUE LIONS".Embu lete ushahidi kaka.
Mmh sijui ila bado kama huu ushahidi hautoshelezi mkuu.Unataka uletewe LESENI YA KLABU humu JAMII FORUMS? Hiyo timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA SUDANI ambayo inaitwa AL HILAL OMDURMAN, kwa jina lingine huwa wanaitwa SIMBA WA BLUU au "BLUE LIONS".
Wamiliki halali wa timu ya mpira wa miguu ya SIMBA SC inayoshiriki LIGI KUU YA TANZANIA, ndiyo wamiliki halali wa timu ya mpira wa miguu inayoitwa AL HILAL OMDURMAN inayoshiriki LIGI KUU YA SUDANI.
Hata majina yanafanana katika LESENI ya KLABU YA SIMBA SC pamoja na KLABU YA AL HILAL OMDURMAN.
Ndiyo maana walikuja kuweka kambi katika TAIFA LA TANZANIA na sio katika MATAIFA JIRANI kama MISRI, ETHIOPIA, ERITREA na CHAD.
Dah...!Sudan Kaskazini waarabu wa kuchovya wanatwangana.
Sudan Kusini nako kwa weusi wamatumbi wenzetu wanatwangana; ukabila na ujinga wa kiafrika sababu kuu.
Una ambiwa ghalama zote wanalipa wenyewe.Kama watawaruhusu wawe washindani tu kwenye ligi na kuwania ubingwa, wao wanasema uwanja wao wa nyumbani utakuwa Benjamin Mkapa au Azam, sasa timu gani itoke kigoma,mbeya,kagera ije kucheza mechi ambayo point hamna?ni kuongeza tu gharama zisizo na maana kwenye vitimu vya ligi kuu
Ghalama zote wanalipa wao.Naomba kujua utatumika utaratibu gani ku cover cost za hizo mechi za kirafiki. Gharama za safari, posho za wachezaji na benchi la ufundi wakati points hazihesabiwi
Huu ndiyo UKWELI wenyewe 🙏🏾Mmh sijui ila bado kama huu ushahidi hautoshelezi mkuu.
AL HILAL OMDURMAN ni timu kubwa, sema sasa hivi imeyumba kutokana SIASA ZA SUDANI. Kule kulikuwa kuna VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE.Maana kwa financial muscle Al hilal ina pesa kushinda klabu zetu za Tanzania kuipita hata Azam FC.
Ni kutokana na UBORA WA LIGI. LIGI KUU YA SUDANI ipo juu ukilinganisha na LIGI KUU YA TANZANIA na ukijaribu kuangalia michuano ya KLABU BINGWA AFRIKA iliyopita, timu za SIMBA SC, KAIZER CHIEFS pamoja na AL HILAL OMDURMAN zote zilikuwa zinafanana majina katika LESENI YA UMILIKI. Hata timu ya RAJA CASABLANCA kutoka katika TAIFA LA MOROKO ni hivyo hivyo.Inamaana huyu mmiliki anai nourish sana Al hilal kuliko Simba??
Huyo alievaa wigi kama la Mange kimambi ndo mtanzania?
AL HILAL OMDURMAN ni timu ambayo inajumuisha wacheza mpira wengi wenye asili ya TANZANIA na inamilikiwa na MTANZANIA, ndiyo maana waliomba kushiriki LIGI KUU YA TANZANIA.
Kwani hutaki uraia pacha🤣Hahaha hapo mwisho..kashikashi wanazo wenyewe..hakuna media za magharibi za kupromot kashikash zao ndo maana hazisikiki..kama za ukanda wa gaza na Israele..
By the way hii kitu ina afya kweli? Any way ngoja tuone..muda si mrf vitazaliwa vitoto vya kisudani huko daslam...
Hahahaaa hatari sanaKwani hutaki uraia pacha🤣
Okora waitu, iwe kashaija?Naishi bhukobhaa...
Hilo neno ulilohighlight lina undermine majadiliano ya kiungwana, unaweza ukaliedit tafadhali.Si kama wapemba tu wa huko Zanzibar,bibi zao KUZALIANA(edited)na waarabu wanajikuta wao special na ubaguzi juu!?
Yani kweli wana lack exposure.
Tayari mkuuHilo neno ulilohighlight lina undermine majadiliano ya kiungwana, unaweza ukaliedit tafadhali.
(Niwie radhi kwa kuazima maneno ya kiingereza)
Nimeona, barikiwa sana kiongozi.Tayari mkuu
Iweee bhojoooOkora waitu, iwe kashaija?
Wachezaji wote weusi ni WATANZANIA, kasoro hao WAHABESHI. Hadi KOCHA FLORENT IBENGE ni MKONGOMANI mwenye asili ya TANZANIA aliyehamia nchini KONGO kipindi cha miaka ya tisini [1990's] akitoka katika MKOA WA SHINYANGA.Huyo alievaa wigi kama la Mange kimambi ndo mtanzania?
Hili jambo liliishia wapi?Tumesikia mipango ipo mbioni kuijumuisha timu ya Al Hilal ya Sudan katika ratiba ya NBC kuanzia msimu ujao. Kuna wakati niliwahi kuwaza hili jambo nilipoona wakati ule wanatanga tanga, nikataka kushauri hili kufanyika na nimefurahi kujua kumbe pale TFF kuna watu wana uwezo wa kufikiria mambo yenye tija kwa ligi yetu.
Nakumbuka mwezi January nilishangaa kwa nini hawakujumuishwa katika mashindano yaliyopita ya Kombe la Mapinduzi wakati walikuwepo hapa hapa.
Pamoja na kwamba maelezo ya kina hayajatangazwa isipokuwa tumeambiwa matokeo ya mechi zao hayatajumuishwa katika msimamo wa ligi, ningeshauri pia ikiwezekana katika makubaliano yatakayofikiwa na Al Hilal, wachaguliwe vijana kadhaa, hata kama ni 3 walio katika vikosi vya taifa vya U-17 au U-20 na wawe tayari kuwaingiza katika kikosi chao kama sehemu ya vijana hao kupata mafunzo na uzoefu.
Big up sana kwa TFF kwa hili jambo. Kwenye hili mmeupiga mwingi.
Cha nyongeza, hivi hiyo vita ya Sudan mbona kama ipo kimya kimya sana maana sisikii kabisa kashkash zake?