Kuijumuisha Al Hilal ya Sudan kwenye ratiba ya ligi ya NBC ni jambo la kupongeza

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Tumesikia mipango ipo mbioni kuijumuisha timu ya Al Hilal ya Sudan katika ratiba ya NBC kuanzia msimu ujao. Kuna wakati niliwahi kuwaza hili jambo nilipoona wakati ule wanatanga tanga, nikataka kushauri hili kufanyika na nimefurahi kujua kumbe pale TFF kuna watu wana uwezo wa kufikiria mambo yenye tija kwa ligi yetu.

Nakumbuka mwezi January nilishangaa kwa nini hawakujumuishwa katika mashindano yaliyopita ya Kombe la Mapinduzi wakati walikuwepo hapa hapa.

Mikakati yao ni mkubwa na inajulikana ndiyo maana wameacha kuialika Al Hilal ambao wapo tu mjini na wanahitaji mechi kama hizi ila wanawaogopa wakijua wanaweza kutoa ushindani mkubwa kwao, badala yake wanavialika vitimu vya ajabu ajabu.

Pamoja na kwamba maelezo ya kina hayajatangazwa isipokuwa tumeambiwa matokeo ya mechi zao hayatajumuishwa katika msimamo wa ligi, ningeshauri pia ikiwezekana katika makubaliano yatakayofikiwa na Al Hilal, wachaguliwe vijana kadhaa, hata kama ni 3 walio katika vikosi vya taifa vya U-17 au U-20 na wawe tayari kuwaingiza katika kikosi chao kama sehemu ya vijana hao kupata mafunzo na uzoefu.

Big up sana kwa TFF kwa hili jambo. Kwenye hili mmeupiga mwingi.

Cha nyongeza, hivi hiyo vita ya Sudan mbona kama ipo kimya kimya sana maana sisikii kabisa kashkash zake?
 
Hahaha hapo mwisho..kashikashi wanazo wenyewe..hakuna media za magharibi za kupromot kashikash zao ndo maana hazisikiki..kama za ukanda wa gaza na Israele..
By the way hii kitu ina afya kweli? Any way ngoja tuone..muda si mrf vitazaliwa vitoto vya kisudani huko daslam...
 
Tumesikia mipango ipo mbioni kuijumuisha timu ya Al Hilal ya Sudan katika ratiba ya NBC kuanzia msimu ujao. Kuna wakati niliwahi kuwaza hili jambo nilipoona wakati ule wanatanga tanga, nikataka kushauri hili kufanyika na nimefurahi kujua kumbe pale TFF kuna watu wana uwezo wa kufikiria mambo yenye tija kwa ligi yetu.

Nakumbuka mwezi January nilishangaa kwa nini hawakujumuishwa katika mashindano yaliyopita ya Kombe la Mapinduzi wakati walikuwepo hapa hapa.

Pamoja na kwamba maelezo ya kina hayajatangazwa isipokuwa tumeambiwa matokeo ya mechi zao hayatajumuishwa katika msimamo wa ligi, ningeshauri pia ikiwezekana katika makubaliano yatakayofikiwa na Al Hilal, wachaguliwe vijana kadhaa, hata kama ni 3 walio katika vikosi vya taifa vya U-17 au U-20 na wawe tayari kuwaingiza katika kikosi chao kama sehemu ya vijana hao kupata mafunzo na uzoefu.

Big up sana kwa TFF kwa hili jambo. Kwenye hili mmeupiga mwingi.

Cha nyongeza, hivi hiyo vita ya Sudan mbona kama ipo kimya kimya sana maana sisikii kabisa kashkash zake?
Vijana wa Rage ni bure kabisa! Hivi mkanganyiko utakajitokeza iwapo hiyo timu itajumuishwa kwenye ligi yetu unaulewa kweli!!
 
Hahaha hapo mwisho..kashikashi wanazo wenyewe..hakuna media za magharibi za kupromot kashikash zao ndo maana hazisikiki..kama za ukanda wa gaza na Israele..
By the way hii kitu ina afya kweli? Any way ngoja tuone..muda si mrf vitazaliwa vitoto vya kisudani huko daslam...
Habari kuhusu vita ya Sudan mbona zinatangazwa Aljazeera,BBC hata Africa news channel??
Kiongozi wa RSF-Rapid support Force ameitisha wito wa kusitisha mapigano dhidi ya jeshi kuu la Sudan kupisha mfungo wa mwezi wa Ramadhan.
Hivyo Eid ikilika kinanuka tena.
Mapigano yamesinyaa sio kama mwanzo.
 
Tumesikia mipango ipo mbioni kuijumuisha timu ya Al Hilal ya Sudan katika ratiba ya NBC kuanzia msimu ujao. Kuna wakati niliwahi kuwaza hili jambo nilipoona wakati ule wanatanga tanga, nikataka kushauri hili kufanyika na nimefurahi kujua kumbe pale TFF kuna watu wana uwezo wa kufikiria mambo yenye tija kwa ligi yetu.

Nakumbuka mwezi January nilishangaa kwa nini hawakujumuishwa katika mashindano yaliyopita ya Kombe la Mapinduzi wakati walikuwepo hapa hapa.

Pamoja na kwamba maelezo ya kina hayajatangazwa isipokuwa tumeambiwa matokeo ya mechi zao hayatajumuishwa katika msimamo wa ligi, ningeshauri pia ikiwezekana katika makubaliano yatakayofikiwa na Al Hilal, wachaguliwe vijana kadhaa, hata kama ni 3 walio katika vikosi vya taifa vya U-17 au U-20 na wawe tayari kuwaingiza katika kikosi chao kama sehemu ya vijana hao kupata mafunzo na uzoefu.

Big up sana kwa TFF kwa hili jambo. Kwenye hili mmeupiga mwingi.

Cha nyongeza, hivi hiyo vita ya Sudan mbona kama ipo kimya kimya sana maana sisikii kabisa kashkash zake?
Ila si nasikia hao wenyewe Al Hilal ndio wameandika barua ya ombi la kushiriki ligi ya NBC?
Ila TFF bado hawajatoa jibu la ombi lao.
Sema mkanganyiko utakua mwingi,mechi za CAF watakua wawakilishi wa nchi gani aisee!?
 
Tumesikia mipango ipo mbioni kuijumuisha timu ya Al Hilal ya Sudan katika ratiba ya NBC kuanzia msimu ujao. Kuna wakati niliwahi kuwaza hili jambo nilipoona wakati ule wanatanga tanga, nikataka kushauri hili kufanyika na nimefurahi kujua kumbe pale TFF kuna watu wana uwezo wa kufikiria mambo yenye tija kwa ligi yetu.

Nakumbuka mwezi January nilishangaa kwa nini hawakujumuishwa katika mashindano yaliyopita ya Kombe la Mapinduzi wakati walikuwepo hapa hapa.

Pamoja na kwamba maelezo ya kina hayajatangazwa isipokuwa tumeambiwa matokeo ya mechi zao hayatajumuishwa katika msimamo wa ligi, ningeshauri pia ikiwezekana katika makubaliano yatakayofikiwa na Al Hilal, wachaguliwe vijana kadhaa, hata kama ni 3 walio katika vikosi vya taifa vya U-17 au U-20 na wawe tayari kuwaingiza katika kikosi chao kama sehemu ya vijana hao kupata mafunzo na uzoefu.

Big up sana kwa TFF kwa hili jambo. Kwenye hili mmeupiga mwingi.

Cha nyongeza, hivi hiyo vita ya Sudan mbona kama ipo kimya kimya sana maana sisikii kabisa kashkash zake?
Sasa kama hawahesabiwi alama, maana kila weekend kuna timu itakuwa inacheza mechi ya kirafiki🤣
 
Habari kuhusu vita ya Sudan mbona zinatangazwa Aljazeera,BBC hata Africa news channel??
Kiongoziwa RPF-Rapid support Force ameitisha wito wa kusitisha mapigano dhidi ya jeshi kuu la Sudan kupisha mfungo wa mwezi wa Ramadhan.
Hivyo Eid ikilika kinanuka tena.
Mapigano yamesinyaa sio kama mwanzo.
Mm ni msikilizaji sana wa bbc...Dw..sijasikia kwa muda kidogo hivi kuhusu vita ya sudan..labda kama kuna muda namiss hivyo vitu labda kwny TV...

Kumbee..wanapigania nini hao nao maskini wa kutupwa...
 
Hahaha hapo mwisho..kashikashi wanazo wenyewe..hakuna media za magharibi za kupromot kashikash zao ndo maana hazisikiki..kama za ukanda wa gaza na Israele..
By the way hii kitu ina afya kweli? Any way ngoja tuone..muda si mrf vitazaliwa vitoto vya kisudani huko daslam...
Sudan ni waislamu wenzetu sema ni mijamaa myeusi. Siyo weupe.
 
Mm ni msikilizaji sana wa bbc...Dw..sijasikia kwa muda kidogo hivi kuhusu vita ya sudan..labda kama kuna muda namiss hivyo vitu labda kwny TV...

Kumbee..wanapigania nini hao nao maskini wa kutupwa...
Ukitaka kupata habari kamili tizama BBC world news english ama Aljazeera english huko ndio habari zipo kwa wingi mkuu ama Africa news channel.

RSF ni kikosi kiliundwa pembeni ya jeshi kuu la Sudan kuisaidia Sudan dhidi ya Janjaweed insurgence.
Sasa Janjaweed wameshadhibitiwa.
Kamanda mkuu wa jeshi kuu la Sudan akatoa wito kuwa RSF ivunjwe irudishwe ndani ya jeshi iwe kitu kimoja na jeshi kuu la nchi maana dhumuni la kuundwa kwake limeisha.
Na kwa serikali ya Sudan kamanda mkuu ndio mwenye mamlaka makubwa.
Hii kitu RSF ikawatibua maana jeshi likivunjwa la RSF redundance itakuwepo,wapo watakaokosa ugali pia uchu wa madaraka ukaingia, maana kamanda wa RSF anataka kiti cha Sudan na pia kamanda mkuu wa jeshi la Sudan anataka kushikilia madaraka.
Kiufupi mkuu sababu ni mbili;
1)Kutaka kuvunjwa kwa RSF.
2)Uchu wa madaraka baina ya kamanda wa RSF na jeshi kuu la Sudan.
 
Ukitaka kupata habari kamili tizama BBC world news english ama Aljazeera english huko ndio habari zipo kwa wingi mkuu ama Africa news channel.

RPF ni kikosi kiliundwa pembeni ya jeshi kuu la Sudan kuisaidia Sudan dhidi ya Janjaweed isurgence.
Sasa Janjaweed wameshadhibitiwa.
Kamanda mkuu wa jeshi kuu la Sudan akatoa wito kuwa RPF ivunjwe irudishwe ndani ya jeshi iwe kitu kimoja na jeshi kuu la nchi maana dhumuni la kuundwa kwake limeisha.
Na kwa serikali ya Sudan kamanda mkuu ndio mwenye mamlaka makubwa.
Hii kitu RPF ikawatibua maana jeshi likivunjwa la RPF redundance itakuwepo,wapo watakaokosa ugali pia uchu wa madaraka ukaingia, maana kamanda wa RPF anataka kiti cha Sudan na pia kamanda mkuu wa jeshi la Sudan anataka kushikilia madaraka.
Kiufupi mkuu sababu ni mbili;
1)Kutaka kuvunjwa kwa RPF.
2)Uchu wa madaraka baina ya kamanda wa RPF na jeshi kuu la Sudan.
Nimekuelewa mkuu...hayo majanjaweed ni makatatili mnoo hitler akasome..hayana huruma sio kwa watoto au kina mama..wanachinja kama kuku...
Hii kiu ya madaraka ni hatari sana..
 
Back
Top Bottom