Kufupisha Uzi nitatoa mfano!
Chukulia ukiwa na njaa Kali, umepigika, jua kali halafu ukapewa lifti ya gari na dreva ambaye katika safari yenu kuna sehemu akakosea!
Kama huwezi kumsema vibaya dereva wako au kumkosoa kwa uderevawake mbovu! Ndivyo ilivyo vigumu kuikosoa serikali inayokulipa mshahara!
Serikali ni tamu sana ukiwa madarakani! Kwanza watu wakilalamika na kuponda unawaona kama mashetani mbele ya malaika!