Kuikosoa Serikali ukiwa madarakani ni kazi ngumu mno

Ni mfumo wa hovyo sn wanafaidi wachache wengi wanaumia
 
Tanzania hii wa kujiuzulu atafutwe kwingine
 
Kifupi Watanzania wameshakubaliana na haya maisha, mambo ya viongozi wao hayawahusu sana kikubwa usiwanyime udaku/umbea na mpira...
 
Ni sahihi, nani anakupinga.
 
Kifupi Watanzania wameshakubaliana na haya maisha, mambo ya viongozi wao hayawahusu sana kikubwa usiwanyime udaku/umbea na mpira...
Haha ndiyo maana Mange akabadili gia angani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…