Tetesi: Kuimarika kwa shillingi ya Tanzania

Madikizela

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2009
Posts
679
Reaction score
450
Leo katika majadiliano ya kawaida na mtumishi mmoja wa NMB katika kumhoji kuhusu exchange rate, akasema kuwa kwa mara ya kwanza last week fedha ya Tanzania imeweza kupanda thamani ikiwa hii ni mara ya kwanza tangu Enzi za ruksa.

Kwa hili kama ni kweli tumpe haki yake Magufuli.
 
Magufuli ameleta heshima mjini.



Mnaishi china nini? Huu muda ni hatarishi.



Any way ametumia vigezo gani?
 
Exchange rate inasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…