Tetesi: Kuimarika kwa shillingi ya Tanzania

Tetesi: Kuimarika kwa shillingi ya Tanzania

Safi sana Magufuli.
Wenye roho za korosho watajinyonga kwa wivu.

Watanzania tunasema hapa kazi tu
 
Kupanda kwa thamani ya shilingi iwiane na unafuu wa maisha
 
Leo katika majadiliano ya kawaida na mtumishi mmoja wa NMB katika kumhoji kuhusu exchange rate, akasema kuwa kwa mara ya kwanza last week fedha ya Tanzania imeweza kupanda thamani ikiwa hii ni mara ya kwanza tangu Enzi za ruksa.

Kwa hili kama ni kweli tumpe haki yake Magufuli.
Lete takwimu dola moja shs ngapi? Euro shs ngapi? Pound shs ngapi usije hapa na blanket statement kama hii
 
Leo katika majadiliano ya kawaida na mtumishi mmoja wa NMB katika kumhoji kuhusu exchange rate, akasema kuwa kwa mara ya kwanza last week fedha ya Tanzania imeweza kupanda thamani ikiwa hii ni mara ya kwanza tangu Enzi za ruksa.

Kwa hili kama ni kweli tumpe haki yake Magufuli.
Kupanda thamani kwa fedha ya nchi hakuelezi lolote kuhusu kukua au kuimarika kwa kwa uchumi.

Fedha ya nchi inaweza kupanda thamani huku uchumi unadhoofika.

Uchumi wa nchi haupimwi kwa thamani ya fedha, unapimwa kwa uzalishaji.

China wanapigana sana ili fedha yao isipande thamani, kwa sababu kama wazalishaji wakubwa wanao export vitu vingi sana nje, fedha yao ikipanda thamani wanapoteza competitive edge.

Timothy Geithner, waziri wa zamani wa fedha wa Marekani, alikuwa anawapigia kelele sana Wachina kwamba waiachie pesa yao ipande thamani kwa nguvu za soko. Wachina hawataki hili mpaka leo. Hawataki pesa yao ipande thamani.

Kinachopima uchumi wa nchi ni uzalishaji, si thamani ya fedha.

Thamani ya pesa ya Tanzania inaweza kupandishwa artificially tu kwa serikali kushikilia fedha za kigeni, hilo halina maana uchumi umepanda.

Again, uchumi kupanda unapimwa kwa kuangalia uzalishaji, sio kwa kuangalia thamani ya pesa.

Soma zaidi kuhusu alichosema Timothy Geithner hapa Geithner Says China Must Boost ‘Undervalued’ Yuan
 
Leo katika majadiliano ya kawaida na mtumishi mmoja wa NMB katika kumhoji kuhusu exchange rate, akasema kuwa kwa mara ya kwanza last week fedha ya Tanzania imeweza kupanda thamani ikiwa hii ni mara ya kwanza tangu Enzi za ruksa.

Kwa hili kama ni kweli tumpe haki yake Magufuli.
Hakuna lolote sarafu ya Tz hali bado tete sana. acha kujipa matumaini ya kula ugali kwa picha ya samaki
 
Imeimarika vip? Iyo exchange rate inasemaje labda ukilinganisha Tshs na $,Pound na Euro? Sio mnaleta maneno tu mtoe na vithibitisho,bidhaa na huduma bado vinapanda bei kila kukicha mtaani alafu mnatwambia Tshs inaimarika hatuelewi.
 
Shilingi 2,000 hata nusu kilo ya nyama hupati, kama ni hivyo kheri biashara ya kuwa mchepuko niifunge.
Me sikuhizi nikitoa nyingi sana ni kumi na tano kawaida ni kumi tu... Njoo chemba tuelewane bibie sky.. Tukiafikiana itakuwa poa..
 
Leo katika majadiliano ya kawaida na mtumishi mmoja wa NMB katika kumhoji kuhusu exchange rate, akasema kuwa kwa mara ya kwanza last week fedha ya Tanzania imeweza kupanda thamani ikiwa hii ni mara ya kwanza tangu Enzi za ruksa.

Kwa hili kama ni kweli tumpe haki yake Magufuli.
ivi ukiwa shabiki wa ccm lazima uwe na akili mbovu?
 
Thamani Ya pesa imepanda lakini siyo vizuri kwa wabeba mabox,miezi kadhaa paundi moja ilikuwa 3500 za madafu sasa hivi haifiki hata 3000.
 
Back
Top Bottom