Tetesi: Kuimarika kwa shillingi ya Tanzania

Tetesi: Kuimarika kwa shillingi ya Tanzania

Hiyo ni siri yao lakini cha muhimu kwetu ni kuwa saa mbili chakula tunakula wote, hakuna tena ile ya kuamka kumuandalia baba chakula saa sita usiku😀😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
 
Leo katika majadiliano ya kawaida na mtumishi mmoja wa NMB katika kumhoji kuhusu exchange rate, akasema kuwa kwa mara ya kwanza last week fedha ya Tanzania imeweza kupanda thamani ikiwa hii ni mara ya kwanza tangu Enzi za ruksa.
Kwa hili kama ni kweli tumpe haki yake magufuli.

Imepanda kwa % ngapi????
Isijekuwa 0.0000000000001
 
Hiyo ni siri yao lakini cha muhimu kwetu ni kuwa saa mbili chakula tunakula wote, hakuna tena ile ya kuamka kumuandalia baba chakula saa sita usiku😀😀

Ha ha haaa tatizo sie wanaume kama kichwa hakipo vizuri idara muhimu inaathirika sana, kwa hiyo mnasali sana kipindi cha mpito kisiishe upesi?
Lakini ni vizuri hii tabia inaweza kudumu hata pale mambo yatakapokuja kukaa saws.
Mtoa habari nae kashindwa kusema rate ndogo, anamaanisha kiasi gani?
 
Leo katika majadiliano ya kawaida na mtumishi mmoja wa NMB katika kumhoji kuhusu exchange rate, akasema kuwa kwa mara ya kwanza last week fedha ya Tanzania imeweza kupanda thamani ikiwa hii ni mara ya kwanza tangu Enzi za ruksa.
Kwa hili kama ni kweli tumpe haki yake magufuli.
Ninachoona ni Importation effects imepungua which means exportation effects imeongezeka, this means matumizi ya dola yamepungua kwa vile hatuagizi tena bidhaa kwa wingi nje( matumizi ya dola), kwa hiyo lazima dola ishuke kidogo. But tukianza kuagiza itarudi tena. Vinginevyo tuanzishe viwanda ili export iwe kubwa( shilingi ya Tanzania inakuwa na matumizi kwa vile dolla itainunua TZS sana)
Hapa Nimeongea kwa Mujibu wa Internatinal finance
 
Ndoa zinaimarika, wababa baada ya kazi hawaendi kwenye michepuko wala kunywa bia.
Hili nalo ni fanikio !!!?? Sasa subiri njaa ya mfukoni, kumbuka kuna hatari pia watoto kutolewe shule za St. Annamaria.
 
Leo katika majadiliano ya kawaida na mtumishi mmoja wa NMB katika kumhoji kuhusu exchange rate, akasema kuwa kwa mara ya kwanza last week fedha ya Tanzania imeweza kupanda thamani ikiwa hii ni mara ya kwanza tangu Enzi za ruksa.
Kwa hili kama ni kweli tumpe haki yake magufuli.
Kumbe tuendelee kuificha pesa yetu kama inapanda thamani ili tuje tununue midola kibao hapo baadaye
 
BoT xrate buying 2116 selling 2118 average 2117
Crdb xrate buying 2096 selling 2236 average 2116

Kweli kuna improvement
Fafanua hyo improvement pliiiz
 
Mkae mkijua, chochote adimu lazima kipande thamani, iwe chungwa, sukari na hata shillingi.
 
Shilingi imepanda thamani kwa kiasi gani? Mbona hujamalizia ili kuondoa querry?
 
WEDNESDAY 21ST, SEPTEMBER 2016

FOREIGN CURRENCY

CODE

BUY

SELL

US DOLLARS

USD

2,104

2,224

STERLING

GBP

2,728

2,883

EURO

EUR

2,353

2,487

JAPANESE YEN

JPY

19

25

SOUTH AFRICAN RAND

ZAR

137

177

KENYA SHILLINGS

KES

20

25

UGANDA SHILLINGS

UGX

0.5456

0.7456
 
chanzo cha kuimarika hyo fedha yetu ni kip labda wachumi watueleze vzur
 
Back
Top Bottom