Kuingia kwenye Penzi jipya kunakuja na gharama ya kupoteza marafiki wa karibu

Kujiendekeza haswa sisi watu weusi utasema sisi ndo waasisi wa mapenzi 🤒
Mapenzi hayana mtu mweusi au mweupe, kwao wote, muitikio ni sawa. Maandiko pia yamesema, mwanaume atamuacha baba na mama take na kuambatana na mkewe. Sasa wazazi wanawekwa mbali, sembuse rafiki?
 
Haja

Hajasema ndoa kasema mapenzi Yale ya kutongozana Kwa mara ya kwanza
 
Back
Top Bottom