Pembe ya ndovu ndio nini?Hapo kuna mambo mengi kwa mfano,hali ya mshtko kwenye mwili,pia kwenye mambo yetu yaleee kama jamaa ana pembe ya ndovu inaleta shida thus why mabadiliko yanatokea[emoji102]
Uume mkubwa namaanisha [emoji102]Pembe ya ndovu ndio nini?
Ndio mara ya kwanza.Ndio ilikuwa mara ya kwanza na kutokewa hiyo hali? Au ulishawahi kutokewa lakini sababu ni nyingine sio hii ya kuangalia picha za kutisha?
Damu inayotoka ni matone matone sio mabonge.Matone ya damu yapoje? Ni kama mabonge ya damu? Na si kweli kwamba hahisi maumivu makali, mtazame kwa makini kama unamuona ana maumivu makali au mbembeleze akwambie ukweli kama anasikia maumivu makali tangu alipoanza kubleed. Kama alianza sas 3 na sasa hivi maumivu hayahisi basi kuna kitu nakifikiria, muulize kwanza maswali haya.
1. Damu inayotoka ni mabonge mabonge ambayo hayafanani na damu ya kawaida, ikiwezekana mwambie mwanamke mwingine yotote atazame hiyo damu.
2. Wakati anaanza period ya leo muda wa saa 3 alikuwa anasikia maumivu makali?
Kwahiyo huyo alokatwa mapanga ndio ana uume mkubwa? Au mahusiano yake na hilo ni nini haswa!!!Uume mkubwa namaanisha [emoji102]
Muda ambao alikuwa anaanza hiyo period ya saa 3 aliweza kufanya shughuli zake zozote au alikuwa amelala tu?Damu inayotoka ni matone matone sio mabonge.
Hahisi maumivu yoyote jambo ambalo limemshangaza na yeye maana haijawahi kutokea akiwa period.
Period iliyopita alipata maumivu kama kawaida akiwa period
Ndio maana nimekuambia ikitokea mshutko katika mwili mabadiliko yanatokea kwani hapo hujaelewa bado?na pia kama mwanaume atakuwa na uume mkubwa inachangia pia [emoji36] [emoji36] [emoji36]Kwahiyo huyo alokatwa mapanga ndio ana uume mkubwa? Au mahusiano yake na hilo ni nini haswa!!!
Hakufanya kazi yoyote.Muda ambao alikuwa anaanza hiyo period ya saa 3 aliweza kufanya shughuli zake zozote au alikuwa amelala tu?
1 . Kuna shughuli yoyote aliyopaswa kuifanya na hakuifanya?Hakufanya kazi yoyote.
Alikuwa amelala tu
Wakati anapata hiyo hali tarehe 24/3 ulimuuliza na kubaini sababu ya kutokea hiyo hali?Mi wangu aliingia tarehe 13/3 then akaja kuingia tena 24/3 halafu tena jana tarehe 21/4 ameingia tena je shida inaweza kuwa nini hapo!?
Hakuwa na kazi yoyote ya kufanya kwa leo.1 . Kuna shughuli yoyote aliyopaswa kuifanya na hakuifanya?
2. Hiyo damu yatoka nyingi kuliko ya period?
Kwa hiyo tarehe 21/4 ndio ilikuwa ni muda sahihi kupata period yake ya siku zote kwenye mzunguko?Mzunguko wake kwa kawaida ni siku 28 ila hiyo tarehe 13/3 ilitokea tu katikati ya mzunguko wake wa kawaida ila baadae akarudi kwenye tarehe zake za kawaida ndio maana nmeomba wajuzi mnifahamishe sababu
Ndio, kinachonifanya niulize haya ni kwann aliingia katikati kabla ya mzunguko wake sahihi!!? Ile tarehe 13/3Kwa hiyo tarehe 21/4 ndio ilikuwa ni muda sahihi kupata period yake ya siku zote kwenye mzunguko?
Hiyo hali imesababishwa na Stress alizonazo hiyo ni kawaida kwa mwanamke akipatwa na mshtuko au mawazo ya ghafra,mwambie apunguze mawazo mambo yatakaa sawaDamu inayotoka ni matone matone sio mabonge.
Hahisi maumivu yoyote jambo ambalo limemshangaza na yeye maana haijawahi kutokea akiwa period.
Period iliyopita alipata maumivu kama kawaida akiwa period
Ahsante mkuu kwa ushauri wakoHiyo hali imesababishwa na Stress alizonazo hiyo ni kawaida kwa mwanamke akipatwa na mshtuko au mawazo ya ghafra,mwambie apunguze mawazo mambo yatakaa sawa
Poa poa Boss pia kaa nae umuulize chanzo cha hizo stress umsaidie kumliwaza mshauri na uyarahisishe ayaone ya kawaida hii itampunguzia kuwazaAhsante mkuu kwa ushauri wako
Chanzo amezinguana na Mwl kwenye Assignment.Poa poa Boss pia kaa nae umuulize chanzo cha hizo stress umsaidie kumliwaza mshauri na uyarahisishe ayaone ya kawaida hii itampunguzia kuwaza