Matone ya damu yapoje? Ni kama mabonge ya damu? Na si kweli kwamba hahisi maumivu makali, mtazame kwa makini kama unamuona ana maumivu makali au mbembeleze akwambie ukweli kama anasikia maumivu makali tangu alipoanza kubleed. Kama alianza sas 3 na sasa hivi maumivu hayahisi basi kuna kitu nakifikiria, muulize kwanza maswali haya.
1. Damu inayotoka ni mabonge mabonge ambayo hayafanani na damu ya kawaida, ikiwezekana mwambie mwanamke mwingine yotote atazame hiyo damu.
2. Wakati anaanza period ya leo muda wa saa 3 alikuwa anasikia maumivu makali?