Kuingia Period kabla ya muda, Tatizo ni nini? Naomba msaada.

Kuingia Period kabla ya muda, Tatizo ni nini? Naomba msaada.

Chanzo amezinguana na Mwl kwenye Assignment.
Walipewa individual Assignment, yeye akafanya baada ya kumaliza akamuomba mwanafunzi mwenzake akamfanyie typing kwa kutumia PC yake, maana yeye hana.

Wakati huo ilikuwa ni jioni mida ya saa moja na stationery walikuwa washafunga maana angeipeleka huko akafanyiwe typing.

Alisaidiwa kufanyiwa typing halafu kesho yake akaletewa akaenda kuiprint na kusubmit.

Baada ya Mwl kupitia kazi zao, wanafunzi kadhaa ikiwemo yeye ikabainika kazi zao zinafanana ndio wakaja kuulizwa kwa nini zimefana, akajieleza jinsi alivyoifanya kazi yake na akamuuliza mwenzake aliyempa amsaidie kutype kama aliigawa kazi yake kwa mtu akopi, akakataa kukiri kufanya hivyo.

Sasa Mwl akawaambia waandike Barua kujieleza kuhusu hilo sakata na sasa washaandika tayari na wamezisubmit. Hofu yake anafikiria hilo jambo ilihali yeye hajafanya kosa la kukopi ila mwingine ndio kakopi kazi yake jambo ambalo linampa stress sana.

Hajui maamuzi ya Mwl yatakuwaje.
Mwambie asihofu ni mambo ya kawaida hayo kwe kusoma mwambie aende akaichukue kwa rafiki yake ile karatasi aliyompa atype ili aitumie kama ushahidi kwa mwl,mbona suala dogo kabisa hili oa sasa amesababisha mambo mengine makubwa......inaonekana huyo hajawahi kukutana na misukosuko migumu ya maisha mwambie akaze huko mbeleni kuna shida zaidi!!
 
Hicho ndio nilichomshauri mkuu.

Ahsante sana mkuu!
 
Hali hiyo huwa inatokea kama binti kapata mshtuko au ana mawazo sana huwa inasababisha bleeding, then baadae huwa inakuja kukata. Awe na amani tu
 
Mi wangu aliingia tarehe 13/3 then akaja kuingia tena 24/3 halafu tena jana tarehe 21/4 ameingia tena je shida inaweza kuwa nini hapo!?
Dhuuuuu hiii mbn kali
 
Subiri mpaka kesho, mbali na hapo nunua UPT kwa 1,000 ukampime. UPT akipima awepo na mwanamke mwingine wa kumsimamia kwa makini.

ANGALIZO: SOMA VIZURI MATUMIZI YA UPT KABLA YA KUITUMIA.
Pa1 mkuu au ntamsimamiaa ata mie
 
Back
Top Bottom