Kuingiza siasa kwenye timu za Mpira ni kuhujumu Michezo. Sio Kila mchezaji ni CCM

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
Hamjambo!

Mpira ni mchezo na burudani kwa Watazamaji na mashabiki. Lakini kwa Kocha na wachezaji na benchi la ufundi kwao ni KAZI.

Unapoleta siasa kwenye kazi za watu unaleta hatari za kuhujumu kazi husika. Ndio maana watumishi wa umma na wanataaluma hawaruhusiwi kujihusisha na siasa.

Fikiria wewe ni Daktari ni Chadema, anakuja mgonjwa wa CCM. Zikishaletwa mambo za siasa kuna hatari Daktari akapata shida kufanya majukumu yake kwa ufanisi.

Sasa Mchezaji wa mpira yeye Mpira kwake ni kazi. Hivyo atakuwa pale kama mchezaji mpira.

Kumbe kwa ndani, mchezaji mpira chama chake ni CHADEMA au anapenda upinzani na kuchukia uccm.

Unapoleta siasa za mapambio kumsifu kiongozi wa CCM na kujifanya yeye ndiye anasababisha timu ishinde wakati hachezi. Lakini pia mchezaji haipendi CCM unahujumu ushindi wa timu.

Ari ya wachezaji lazima ishuke tuu. Upende usipende.
Yaani katika mambo yanakata hamasa ya wachezaji ni kuingiza mambo uchama(usiasa) au udini ndani ya Kazi yoyote.

Wanasiasa wanapenda maujiko hata ambapo hawahusiki.
Na kikawaida mtu hawezi kufanya kazi yeye alafu ujiko apewe mwingine. Kiasili lazima mtu aone amedhulumiwa.

Ni hayo tuu.
 
Tumefurahi sana wamekosa kombe. maCCM majinga sana
 
Imagine mitandaoni watanzania wengi wakaanza kushabikia Senegal 😥😥😥kisa kuleta siasa kwa vijana
 
Back
Top Bottom