Kuingiziwa vidole ukeni.

Kuingiziwa vidole ukeni.

..Lakini huruhusiwi kuingiza vidole kwa binti ambaye ni bikra coz eneo la ukeni huwa tunaamini ni safi na si busara kuvuja bikra ya watu...
Mnawajuaje hao ma-bikra? Kwa nini bikra hawezi kupata infection/fungus?
 
MUPIROCIN nilidhani wewe ni Doctor kumber ni hao hao.''Wakati mwingine kuna masister do wanakuja wanaringa na dharau au warembo watu kama hawa wakija akikaa vibaya nampiga finger.'' Imekaaje hii wenzangu
 
Pole sana kwa hali hiyo inaonesha kweli ilikuumiza, ila inakubidi kabla ya kufanya jambo lolote uhoji na ikibidi pendekeza kama hupendelei jaribu njia nyingine ama kuhama sehemu hiyo na kuchagua sehemu nyingine.

"NAJIEGESHA KIDOGO"
 
Kitendo cha kukubali kuvua nguo zote na kupanda kitandani kinaonesha wazi kuwa ulikuwa tayari kwa lolote hata angeamua kuzamisha ndonga yake!!!!
 
Ninachojua mimi jamani kuna kifaa kipo kama pamba ya kutolea uchafu masikioni ila yenyewe ni kubwa kidogo ambayo hutumika kutoa vipimo kutoka ukeni!!!

Hiyo ya vidole tena nina shaka nayo, labda ulijiremba sana na kuvunja kabati wakati unakwenda hospital!!!!
 
Kwa mwanamke ukishasema tumbo linauma your very complex, kwa kawaida lazima akuulize kama kuna uchafu unatoka ukeni, unapokojoa mkojo unauma, unaharisha au unajua vidonda vya tumbo. Yote haya yanaweza sababisha maumivu chini ya kitovu.
Wanawake almost 90% ukitoka uchafu mweupe kama maziwa yaliyo ganda watakwambia uchafu wa kawaida. Infact hii ni fungus na inasababisha sana maumivu chini ya kitovu. Dr asipochunguza kwa kuweka vidole ukeni unaweza ukanywa madawa aina zote na usipone. Kwa hiyo dada hii ni kawaida. Juzi kuna dada kaja na maumivu kama yako na akiulizwa kama kunauchafu unatoka anakataa nilipompima nilikuta uji umejaa balaa sijui hata mumewe anaenjoy vp na ile miuji.
Lakini huruhusiwi kuingiza vidole kwa binti ambaye ni bikra coz eneo la ukeni huwa tunaamini ni safi na si busara kuvuja bikra ya watu.
Wakati mwingine kuna masister do wanakuja wanaringa na dharau au warembo watu kama hawa wakija akikaa vibaya nampiga finger.
Pole kama hukuandaliwa kawaida Dr anatakiwa kuseek consent kwako mpaka ukubali ukikataa harusiwi kukufanyia kipimo chochote bila ridhaa yako. Be blessed.



Thats it !
 
Ninachojua mimi jamani kuna kifaa kipo kama pamba ya kutolea uchafu masikioni ila yenyewe ni kubwa kidogo ambayo hutumika kutoa vipimo kutoka ukeni!!!

Hiyo ya vidole tena nina shaka nayo, labda ulijiremba sana na kuvunja kabati wakati unakwenda hospital!!!!



Na huwezi kujua kwa sababu sio proffessional yako !
 
MUPIROCIN nilidhani wewe ni Doctor kumber ni hao hao.''Wakati mwingine kuna masister do wanakuja wanaringa na dharau au warembo watu kama hawa wakija akikaa vibaya nampiga finger.'' Imekaaje hii wenzangu



Hapo ndo alipoharibu,
though maelezo yake mengine ni sahihi kabisa.
 
Mnawajuaje hao ma-bikra? Kwa nini bikra hawezi kupata infection/fungus?



Mkuu!
Kuwajua ni according to maelezo yake.
Infection anaweza pata ila hii ni taratibu ya kazi,huruhusiwi kum pv virgin in normal circumstance.
Ni sheria kama ilivyo kwamba surgeon na yeyote anaeingia thearte < chumba cha op> anatakiwa kuvua mapambo yote ISIPOKUWA PETE YA NDOA.
 
ulichosema uko sahihi kuwa anapokuwepo Dr nurse anatakiwa kuwepo ila kwa mazingira ya kwetu watumishi wachache tena kunauafadhari serikalini lakin sekta binafsi ndo shida zaidi hawawezi kuajili manesi wengi kiasi hicho coz wanamaximize for profit, nashukuru kama tumeelewana



Watu hawajui Mkuu!
Kuna zhnt zina mtumishi mmoja tu huku vjjn! Nurse ama tabibu.
 
Nikimaliza Mkutano wa mgomo wa Ma-Doctor nitarejea kutoa ufafanuzi wa tukio hilo.
 
hujui nini unachoongea! Alichokosea jamaa hakumwambia huyo dada nin atamfanyia ili akubali au akatae. Kwa wale wafeminist ingekuwa bora zaidi mkipiga kelele na binti zenu wakasome medicine ili waje kuexamine wanawake. Hakuna procedure madoc wa kike huwa wanakwepa kama kumcheki sehemu za siri mwanamke mwenzie. Sijui ni kwa sababu wanazifahamu adha za huko! Aafu wadada mi nawashangaa sana wengine wanakuja hospital wakikuta dok wa kike hawaingii mpaka wakutane na mwanaume. Huku mnajidai mko sensitive sana na mambo ya jenda. Tutakutana labor!!



Mkuu uko kwenye mgomo nini ?!
Teh teh teh!
But uko sahihi... Baadhi yao ni
' sitaki nataka '.
 
Alipoambiwa vua alipaswa kuhoji kwa nini kama hakumwambia alichodhamiria kufanya,inaelekea dada alishaambiwa kuhusu hicho kipimo ila kilichomkera ni kuvaa gloves na kum finger! Pia inaelekea ni mara ya kwanza kuona kipimo cha namna hiyo kwa hiyo alishangaa na kukereka! Na kama hakutumia K-y kulainisha maumivu ni lazima.
Hata hivyo pole dada etu,hayo ndo mambo ya kitabibu Tz kwa sababu hatujawa na teknoljia mbadala kwa ajili ya uchunguzi,na hata kama tuna teknolojia kidogo ni ghali kwa hiyo ungelalamika vipimo hospitali/disp fulani ni ghali balaa
 
nimefurah sana leo mnapowachana watu wanaoleta UHUNI hapa jamvin. Mtu anaomba msaada we unaleta upuuzi, ushuzi, ujinga, utoto... Mods " I PERSONALY THNK, THS ARE KIND OF PERSONS YOU SHOULD BANN 4LIFE"...Na kwakufanya hvo cfa nzur ya Jf itaendelea kuimarka.
 
Nami ningependa kukupa uhalisia wa mambo, the method is accepted to diognise such a problem to a lady. Ila kuna information muhimu inawezekana hukumpatia doctor ndiyo maana alishindwa kutumia njia zingine maana hiyo njia ni ya mwisho. Na yule anayetaka ungesaidiwa na doctor mwanamke hajaelewa gyno wanawake wapo wangapi nchi hii wala asingetamka kama angekuwa.
 
kawaida daktari wa kiume akitaka kukuangalia inabidi aite dakitari mwingine au haswa nurse wakike ili asimame hapo pembeni na hii ni kuzuia mgonjwa kumlaumu dakitari.

ila kama alikuwa anataka cheki chini ya tumbo basi ungevua nguo za chini kama gauni i guess ungeofa kupandisha then anafunga pazia unjiweka sawa then unajifunika na shuka na ukiulizwa upo tayari unasem andio na ndio anaingia na kuwa na witness

sasa kama unajisikia alikushika huko kusivyo na alikuwa mwenyewe basi nenda karipoti hii inategemea ulikuwa hospitali gani ana bosi? na kwa nini uanjisikia alikufanyai unyama tu

fata roho yako hii kitu inachanganya sana, ulizia kwa nduguzo upewe ushauri ila kama mie wewe nitampeleka kwenye sheria BIG TIME umeona huyo mwingine humu alivyoandika ushenzi wa kufanyizia wasichana ndio hao hao wanabidi wakamatwe

Pole sana ila i hope baada ya hilo jambo alikupa matibabu au kukujibu vizuri
ila ulizia au tuma mtu wa kiume aulizie habari zake ili asikujue unamtafuta then ukisikia kuna wengine wanalalamikaga absi unakesi big time

mtume mtu wa kiume aulizie hospitali kistory style na awe smart
 
Back
Top Bottom