Kuiondoa CCM madarakani ni rahisi kuliko wakati wowote ule, tuanze kujipanga

Kuiondoa CCM madarakani ni rahisi kuliko wakati wowote ule, tuanze kujipanga

Jaribuni tu kudai by force ndipo mtajua kwanini popo ni mnyama lakini anaruka kama ndege
Mpigie simu jiwe muulize kama angepata tena chance ya kuongoza tena je angetesa watu hivyo!!
 
Chawa wa Taifa hili CCM 2025 kama wakitaka wasitake wanaondoka na tutawabanja kikwelikweli, na wito wanaoikataa CCM waikatae kuanzia sasa,kama upo CCM basi huko hakukufai hama na mapema,mambo ya kudandia mmeyaona,Nyarandu kawekwa pembeni,Membe kamembuka eti leo ndio wamejua kama nyimbo walizokuja nazo haziimbiki ugenini,wamerudi zao bila ya kurudishwa,kwa hiari yao wametokwa na kauli tata na wasiojielewa wakazivamia,nyimbo haiimbiki ugenini.

CCM ni makundi makundi , yamejivisha ngozi ya kondoo kwa sasa,tunaona Mwenyekiti wa CCM anavyookoteza,ni wazi anapapasa kizani,na 2025 wahafidhina wanampiga na chini ili kuchomeka mtu wao.

Heshima ya Raisi Samia ni kuweka mazingira mazuri ya uchaguzi tume huru na katika ili kuisaidia Nchi yake ya Zanzibar,anatakiwa afahamu tu ardhi na mbingu ni vitu viwili tofauti na waswahili wanamsemo mtu kwao,Bwana yule kajenga kwao mpaka uwanja wa ndege ,wewe nawe ijenge kwenu kwa kuweka katiba sawa.

Ila kwa ujumla CCM tunaipiga na chini huku Tanganyika. 2020 imetosha.
Itakuwa ngumu sana maana yule mwendazake alitumia mi guvu ila hawa walioshikilia kiti wenyewe kwa sasa wanatumia akili na maarifa maana ni wenyeji wamepokea kiti chao
 
Back
Top Bottom