Kuipanga Simba na Yanga kundi moja Kagame ni janja ya pesa

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
CECAFA wanataka kuondoa uwezekano Wa Simba na Yanga kutokutana kwenye mashindano haya.

Mechi ya Simba na Yanga ndio mtaji Wa mashindano, hivyo wanahofia Yanga dhaifu kuondolewa mapema kama itapangwa kundi tofauti na Simba na kuwasababishia njaa na madeni.

Hii ni chukua chako mapema ya cecafa na Musonye
 
Sikutegemea Timu za Nchi moja kupangwa kundi moja, wakati uwezekano wa kutenganishwa upo! Hiyo kweli ni janja yao tu. Na kuna uwezekano wa kukutana hata mara mbili!
 
mpira biashara unategemea wafanye kitu cha hasara eti kisa kuwapatia raia burudani?
 
CECAFA wanataka kuondoa uwezekano Wa Simba na Yanga kutokutana kwenye mashindano haya.

Mechi ya Simba na Yanga ndio mtaji Wa mashindano, hivyo wanahofia Yanga dhaifu kuondolewa mapema kama itapangwa kundi tofauti na Simba na kuwasababishia njaa na madeni.

Hii ni chukua chako mapema ya cecafa na Musonye
Ata katika ratiba kuna mechi wanacheza siku moja wanaanza Yanga saa 8 kisha Simba saa 10 yote hiyo kwa ajili ya mapato asante sana Musonye.
 
Back
Top Bottom