Kuishabikia Arsenal kunahitaji uwe na moyo kama Alshabaab

Majighu2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
2,937
Reaction score
3,959
Hawa jamaa kila mwaka wanasindikiza timu nyingine. Msimu huu mechi nane tu kashadunguliwa mechi tatu kudadadeki. Hii timu naipenda na wengi tunaipenda ila Wenger na bodi yake hawajali hisia za mashabiki wao.

Kuiacha arsenal siwezi ila kwa sasa naacha kuangalia mechi za arsenal. Bora niangalie Ze comedy ila sio hawa viumbe wasiojielewa. Wenger akiondoka nitarudi kuishabikia timu yangu. Yan arsenal ilipofikia ni sawasawa na CCM, wanatunyonya mashabiki damu yoteee. Pumbavu kabisaa
 
As long as wamiliki wanaingiza faida na vitabu vya hesabu vinafungwa na faida, Wenger hawezi kuondoka mpaka hasara itapoanza kuikumba.
Tatizo la arsenal hawataki kuwekeza na kutengeneza timu ya ushindani..Yan wao wanataka kuwatumia akina Iwobi eti wachuku UCL hilo halitokaa kutokea. Wanapiga maktime tu mpaka mwisho wa dunia. Wenger ni bonge la kocha,angenunua wachezaji wa maana timu imgepata vikombe na faida zaidi.
 
Acha tu mkuu..Bora kujipumzisha tu kuliko kupata stress za Arsenal
kuanzia Leo siifatilii,kilichomfanya asipange timu ya kwanza ni kitu gani?iwobi anakicheza nini mule zaidi ya utoto?kwa nini hakumpanga Sanchez?messi mbona kacheza?..kocha mpuuzi wachezaji wazembe,wavivu hawana focus
 
Yule mzee sio mzima hata kidogo
 
Arsenal ilikuwa wakati huo bhana Golini Lehmann,shavu la kulia Lauren shavu la Kushoto Ashley Cole kati pale Habib Kolo Toure anapiga namba nne,mtu mzima Sol Campbell anamaliza mkoba dimba la chini mtukutu Vieira dimba la juu mbrazil Gilberto Silva mbavu ya kulia unamkuta Fredrik Ljungberg "kipara" mbavu ya kushoto Robert Pires "Fundi" tisa anapiga Thierry Henry "Kichogo" kwenye shimo(namba kumi) Dennis Bergkamp"Master".
Kwenye benchi unawakuta akina Parlour,Edu,Wiltord,Clichy n.k
Hao ndo walikuwa washika bunduki siyo hawa wa sasa washika fimbo
 
Acha kuumia na vitu visivyokuhusu, Chelsea mbona wamechezea na wametulia tu.
 
Hawa jamaa kila mwaka wanasindikiza timu nyingine. Msimu huu mechi nane tu kashadunguliwa mechi tatu kudadadeki. Hii timu naipenda na wengi tunaipenda ila Wenger na bodi yake hawajali hisia za mashabiki wao.

Kuiacha arsenal siwezi ila kwa sasa naacha kuangalia mechi za arsenal. Bora niangalie Ze comedy ila sio hawa viumbe wasiojielewa. Wenger akiondoka nitarudi kuishabikia timu yangu. Yan arsenal ilipofikia ni sawasawa na CCM, wanatunyonya mashabiki damu yoteee. Pumbavu kabisaa

Mkuu usihangaike bwana na hao jamaa mwishoe utapata anxiety disorders buree😀. Wenzio huko walipo wanakula bata kwa mrija and redbull pembeni. Welcome Man city__KUN atakuondolea stress
 
Kuhama kazi sana..Bora nibaki hivihivi tu..Naamimi babu akiondoka timu itakaa sawa
 
Mimi nimemwachia mungu asee mangi haiwezekani tutoke nkwenye invisible tuje kwenye jamvi la wageni yani kama mechi ya juzi nilikua naangalia live kwenye simu ilibaki robo nivunje na simu yenyewe
yani nilijitoa kwenye magroup yote ya whatsapp ya arsenal fun
na jezi zangu pendwa niliacha kuzivaa 2015
 
Tatizo la arsenal hawataki kuwekeza na kutengeneza timu ya ushindani..Yan wao wanataka kuwatumia akina Iwobi eti wachuku UCL hilo halitokaa kutokea. Wanapiga maktime tu mpaka mwisho wa dunia. Wenger ni bonge la kocha,angenunua wachezaji wa maana timu imgepata vikombe na faida zaidi.
Kunakipindi 90's Ferguson aliambiwa u can't win anything with Kids hicho kipindi aliwaacha wakongwe waondoke kama Bryan Robinson,Paul Ince,Mark Hughes nakuanza kuwatumia makinda Ryan Giggs,Paul Scholes,Gary Neville, Phil Neville, Nick Butt,David Beckham
Lakini msimu huo Timu iliyumba xana mwanzoni mwa Ligi,but mwisho wa msimu wakawa Mabingwa wa Uingereza na baadae walikuja kushinda Treble
Soo inawezekana kushinda na wakina Iwobi as long as Iwobi,Elneny,Welbeck,Ramsey they Do believe that they can do it,cos Wenger yy haingii uwanjani kucheza,soo kama anaamini yy mwenyewe ni kazi bure
 
Hivi hao wachezaji Wa arsenal uliowataja hapo wanalingana uwezo na hao watotot Wa man u ktk ukinda wao? Ulimuona vema scholes, Beckham na giggs enzi za umri huo walochukua ubingwa!?
 
Back
Top Bottom