Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
Hawa jamaa kila mwaka wanasindikiza timu nyingine. Msimu huu mechi nane tu kashadunguliwa mechi tatu kudadadeki. Hii timu naipenda na wengi tunaipenda ila Wenger na bodi yake hawajali hisia za mashabiki wao.
Kuiacha arsenal siwezi ila kwa sasa naacha kuangalia mechi za arsenal. Bora niangalie Ze comedy ila sio hawa viumbe wasiojielewa. Wenger akiondoka nitarudi kuishabikia timu yangu. Yan arsenal ilipofikia ni sawasawa na CCM, wanatunyonya mashabiki damu yoteee. Pumbavu kabisaa