Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
Acha tu mkuu..Bora kujipumzisha tu kuliko kupata stress za ArsenalPole sana mkuu aisee...duuuh
Tatizo la arsenal hawataki kuwekeza na kutengeneza timu ya ushindani..Yan wao wanataka kuwatumia akina Iwobi eti wachuku UCL hilo halitokaa kutokea. Wanapiga maktime tu mpaka mwisho wa dunia. Wenger ni bonge la kocha,angenunua wachezaji wa maana timu imgepata vikombe na faida zaidi.As long as wamiliki wanaingiza faida na vitabu vya hesabu vinafungwa na faida, Wenger hawezi kuondoka mpaka hasara itapoanza kuikumba.
kuanzia Leo siifatilii,kilichomfanya asipange timu ya kwanza ni kitu gani?iwobi anakicheza nini mule zaidi ya utoto?kwa nini hakumpanga Sanchez?messi mbona kacheza?..kocha mpuuzi wachezaji wazembe,wavivu hawana focusAcha tu mkuu..Bora kujipumzisha tu kuliko kupata stress za Arsenal
Yule mzee sio mzima hata kidogokuanzia Leo siifatilii,kilichomfanya asipange timu ya kwanza ni kitu gani?iwobi anakicheza nini mule zaidi ya utoto?kwa nini hakumpanga Sanchez?messi mbona kacheza?..kocha mpuuzi wachezaji wazembe,wavivu hawana focus
kwa kweli aisee pumzikaAcha tu mkuu..Bora kujipumzisha tu kuliko kupata stress za Arsenal
Nitarudi akija kocha mpyaAcha tu mkuu..Bora kujipumzisha tu kuliko kupata stress za Arsenal
Hawa jamaa kila mwaka wanasindikiza timu nyingine. Msimu huu mechi nane tu kashadunguliwa mechi tatu kudadadeki. Hii timu naipenda na wengi tunaipenda ila Wenger na bodi yake hawajali hisia za mashabiki wao.
Kuiacha arsenal siwezi ila kwa sasa naacha kuangalia mechi za arsenal. Bora niangalie Ze comedy ila sio hawa viumbe wasiojielewa. Wenger akiondoka nitarudi kuishabikia timu yangu. Yan arsenal ilipofikia ni sawasawa na CCM, wanatunyonya mashabiki damu yoteee. Pumbavu kabisaa
Kuhama kazi sana..Bora nibaki hivihivi tu..Naamimi babu akiondoka timu itakaa sawaMkuu usihangaike bwana na hao jamaa mwishoe utapata anxiety disorders buree😀. Wenzio huko walipo wanakula bata kwa mrija and redbull pembeni. Welcome Man city__KUN atakuondolea stress
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Kuhama kazi sana..Bora nibaki hivihivi tu..Naamimi babu akiondoka timu itakaa sawa
Kunakipindi 90's Ferguson aliambiwa u can't win anything with Kids hicho kipindi aliwaacha wakongwe waondoke kama Bryan Robinson,Paul Ince,Mark Hughes nakuanza kuwatumia makinda Ryan Giggs,Paul Scholes,Gary Neville, Phil Neville, Nick Butt,David BeckhamTatizo la arsenal hawataki kuwekeza na kutengeneza timu ya ushindani..Yan wao wanataka kuwatumia akina Iwobi eti wachuku UCL hilo halitokaa kutokea. Wanapiga maktime tu mpaka mwisho wa dunia. Wenger ni bonge la kocha,angenunua wachezaji wa maana timu imgepata vikombe na faida zaidi.
Hivi hao wachezaji Wa arsenal uliowataja hapo wanalingana uwezo na hao watotot Wa man u ktk ukinda wao? Ulimuona vema scholes, Beckham na giggs enzi za umri huo walochukua ubingwa!?Kunakipindi 90's Ferguson aliambiwa u can't win anything with Kids hicho kipindi aliwaacha wakongwe waondoke kama Bryan Robinson,Paul Ince,Mark Hughes nakuanza kuwatumia makinda Ryan Giggs,Paul Scholes,Gary Neville, Phil Neville, Nick Butt,David Beckham
Lakini msimu huo Timu iliyumba xana mwanzoni mwa Ligi,but mwisho wa msimu wakawa Mabingwa wa Uingereza na baadae walikuja kushinda Treble
Soo inawezekana kushinda na wakina Iwobi as long as Iwobi,Elneny,Welbeck,Ramsey they Do believe that they can do it,cos Wenger yy haingii uwanjani kucheza,soo kama anaamini yy mwenyewe ni kazi bure