iamriq_arthur
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 452
- 1,133
huko mikoani pesa hazihitajiki? au barter trade imetamalaki?Nimefanya utafiti wangu kila kona ya Dar es salaam nimeona wazawa wengi wa hili jini wote ni mabandidu wasio na huruma na hawaogopi lolote juu ya swala la pesa, watu wakilala wakiamka wanawaza pesa.
Kila kitu ni pesa, ukimsimamisha mwanamke njiani ukimuona namba badae ataanza kukuelezea shida zake, taflani tupu.
Wazee nao watu wazima kabisa ukiwaomba msaada majibu watakayokupa unaweza lia huku unacheka π, maisha ya Dar es salaam ni kama Movie ππ©
Au sio??πΏhuko mikoani pesa hazihitajiki? au barter trade imetamalaki?
Wewe simbilisi unataka kusema nini kwan πWewe Tumbili, Akiri ndio nn? Taflani ndio nn?
Exactly π€πMikoani pesa ni za msimu unaishi kwa kutumia nguvu zaidi kufanya kazi za kilimo na ufugaji ili upate mahitaji, Jijini Dar es salaam hakuna pesa ya msimu huku mwaka mzima pesa inazunguka unachotakiwa ni kutumia akili na wewe uwepo ndani ya mzunguko huo. Chaguo ni lako utumie Nguvu uchoshe mwili huko mkoani au utumie akili na nguvu kidogo na mafanikio zaidi huku ukiienjoy mandhari ya jiji pendwa.