Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuzunguka sehem gani Dar ukikaa akili hazikufyatuki!!Wafanyabiashara wa Kariakoo wengi ni nusu vichaa
Wanaoishi maeneo ya uswahilini kama Manzese Mbagala, Vingunguti, Buguruni, Kwa Mtogole, n.k wengi zimefyatuka.
Nawapa pole watu wanaoishinda Kariakoo. Ule mtaa sijui unaitwaje karibu na lile soko kuu, kuna kelele za watu + vipasa sauti balaa! Kuongea na simu ni shida!Wafanyabiashara wa Kariakoo wengi ni nusu vichaa
Wanaoishi maeneo ya uswahilini kama Manzese Mbagala, Vingunguti, Buguruni, Kwa Mtogole, n.k wengi zimefyatuka.