Kuishi miaka mingi ni ishu ya Asili ya ukoo wenu

Pia wanasema umri alioishi mama yako ni kipimo cha umri utakaoishi ww. Hili lina ukweli?
Wazazi wasingezika watoto wao. Kifo kinaogopesha, watu tunataka kusikia mambo hata yasiyokuwepo ilimradi yanatupa faraja. Ufe leo au kesho utakufa tu, hakuna haja ya kufikiri sana kuhusu hilo maana utatumia wakti uliopewa kufikiria wakati ambao si wako tena, wakati wa kifo. Labda kama ww ni mwanasayansi unakichunguza kifo, kinyume na hapo furaisha wakati wako.
 
Mkuu upo sahihi sana,mfano ni koo nyingi za kichaga,hawa huishi miaka mingi sana,hili nimelishuhudia mwenyewe,na wengine ninao nyumbani
 
Ila wewe jamaa unajifanyaga kila kitu unajua wewe siasa wewe, dini wewe, maisha unayajua wewe......punguza ujuaji mwingi hata Kama una kipaji cha uandishi
 
Ila wewe jamaa unajifanyaga kila kitu unajua wewe siasa wewe, dini wewe, maisha unayajua wewe......punguza ujuaji mwingi hata Kama una kipaji cha uandishi


Mbona sikujui wewe Kama Mimi mjuaji??

Saikolojia yako haipo Sawa. Kama ningeambiwa nikushauri ningekushauri jitahidi kunywa maji mengi, pia ulale mapema ili akili yako ipate utulivu.
 
Mbona sikujui wewe Kama Mimi mjuaji??

Saikolojia yako haipo Sawa. Kama ningeambiwa nikushauri ningekushauri jitahidi kunywa maji mengi, pia ulale mapema ili akili yako ipate utulivu.
Na mm ningekushauri utumie kipaji chako vizuri kuelimisha jamii
 
Taikon wa fasihi umefululiza sana machapisho hatimaye umeanza kuandika mada zisizo na ubunifu.

Yaani mambo ambayo ni ya kawaida kabisa na jamii inayafahamu ata sayansi imethibitisha habari ya vinasaba, mbona iko wazi.
Kama kwako haya mambo ni bayana tafadhali pita kimya. Watu tunatafakari hii mada hapa saizi kwa jinsi ilivyo touching
 
Hapo kwenye Dona naomba ule zaidi vyakula vya protein na vitamin Kama mbogamboga na matunda.

Wanga Kula kidogo Sana.
Iwe ni wali, ugali,mandazi, chapati, mihogo, n.k.
Ndizi za kupika vipi?
 
Fafanua jinsi ya kujitakasa,hatua zipi zifanyike...
 
La muhimu ukiona ukoo wako haueleweki yaan umejawa gundu tu basi jitenge mapema sana, yaan jiondowe kbsa ktk ushirika wao na utakuwa safe.

Acha kushiriki faragha zao za kijumuiya pia shughuri zao zote, pia kaa nao mbali wanandugu wote jitenge na utafute mahala pa mbali kaishi huko umri wako wote na jamii tofauti.

pia la mwisho jifungue vifungo vya kiukoo, i mean kama ukoo wako ulikuwa na zile mambo fulan fulan za kuabudu upuuzi upuuzi na kurithishana upuuzi basi wew jitoe huko, acha kushirikiana nao kwa kila jambo.

Watakuona umechange lkn acha waseme muhimu unapambania maisha yako.

Ushahidi unaonesha kuwa wale wana ndugu wanao ishi jiran na kushirikiana kwa kila jambo basi hata maisha yao hufanana hivyo hata matatizo yao huwa aina moja, fuatilia hili utaona.

Kuna zile koo masikin sana lkn utashangaa wanae yule nduge ama mjomba/shangazi ambaye ni tajiri na anasemekana anaringa na kawatenga wanandugu haonekani mpka siku za misiba napo anakaa nusu saa na kusepa, hawa ndio wanajua siri hizi za kujiondoa ktka matatizo ya kiukoo.

Stay away na matatizo, usiseme hukuambiwa.
 
Taikon hii imekaaje?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…