Hivi kuna mchepuko wa pekeako?huyo sio mchepuko wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kuna mchepuko wa pekeako?huyo sio mchepuko wako
hujakutana na loyal sidechick babaHivi kuna mchepuko wa pekeako?
Aache mambo ya kijinga huyu jamaa🤣🤣🤣heeeee kwahiyo unataka tuachwee
wakati njanuary ndo hiiyoooAache mambo ya kijinga huyu jamaa🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣hujakutana na loyal sidechick baba
tafuta hela tu
Huyo wa lodge sio mchepuko,mchepuko anapangiwa nyumba baba bei kati ya laki2-3....full furnished na matumizi ya Kila siku.Shida ni kwamba huwezi tambua hayo yote, labda mpaka mtu akuambie.
Mfano budget ya kutoka na mchepuko kwa kujibana
Jumla hapo 160k hiyo ela huwezi ona ni kubwa but ukiileta na kwa familia ni pesa ambayo wanaweza kula na kujigalagaza mwezi mzima kama siyo nusu mwezi, but unaispend kwa siku moja.
- Lodge 50k
- Chakula 30k
- Usafiri 30k
- Yeye utamuachia min 50k
- Hapa kuna ambao wataanza kula bata kwanza unakuta vinywaji tu yaweza fika 100k
Sijui kakurupukia wapi huyu😁😁😁wakati njanuary ndo hiiyooo
angesubiri january ipiteSijui kakurupukia wapi huyu😁😁😁
Anataka kuzua taharuki tu!angesubiri january ipite
Ndo maana nimesema kwa kujibana, hapo kwemye kumpangishia ni next level anaelekea kuwa mke.Huyo wa lodge sio mchepuko,mchepuko anapangiwa nyumba baba bei kati ya laki2-3....full furnished na matumizi ya Kila siku.
Sasa kama lodge 50 ,Kwa wastani wa Kila weekend kuonana nae si Bora umpangie tu nyumba mcheps wako akutoe stress 😬Ndo maana nimesema kwa kujibana, hapo kwemye kumpangishia ni next level anaelekea kuwa mke.
Idea nzuri...sema kutakuwa na investment cost..ni bora kufanya hivyo if umejipangaSasa kama lodge 50 ,Kwa wastani wa Kila weekend kuonana nae si Bora umpangie tu nyumba mcheps wako akutoe stress 😬
mtu mmoja anata amiliki michepuko 10
Utaepuka gharama za lodge, but utakumbana na gharama zingine za maisha
Sasa kama lodge 50 ,Kwa wastani wa Kila weekend kuonana nae si Bora umpangie tu nyumba mcheps wako akutoe stress 😬
🤣🤣🤣🤣Katibu mkuu kiongoziSema mama unataka tukupe cheo gani kwenye chama chetu cha mabazazi...
Maana tukikujengea sanamu litaishia kunyewa na kunguru...