Kuishi na Mchepuko mwaka 2024

Kuishi na Mchepuko mwaka 2024

Shida ni kwamba huwezi tambua hayo yote, labda mpaka mtu akuambie.
Mfano budget ya kutoka na mchepuko kwa kujibana
  • Lodge 50k
  • Chakula 30k
  • Usafiri 30k
  • Yeye utamuachia min 50k
  • Hapa kuna ambao wataanza kula bata kwanza unakuta vinywaji tu yaweza fika 100k
Jumla hapo 160k hiyo ela huwezi ona ni kubwa but ukiileta na kwa familia ni pesa ambayo wanaweza kula na kujigalagaza mwezi mzima kama siyo nusu mwezi, but unaispend kwa siku moja.
Huyo wa lodge sio mchepuko,mchepuko anapangiwa nyumba baba bei kati ya laki2-3....full furnished na matumizi ya Kila siku.
 
Ndo maana nimesema kwa kujibana, hapo kwemye kumpangishia ni next level anaelekea kuwa mke.
 
Sasa kama lodge 50 ,Kwa wastani wa Kila weekend kuonana nae si Bora umpangie tu nyumba mcheps wako akutoe stress 😬
 
Idea nzuri...sema kutakuwa na investment cost..ni bora kufanya hivyo if umejipanga
 
Sasa kama lodge 50 ,Kwa wastani wa Kila weekend kuonana nae si Bora umpangie tu nyumba mcheps wako akutoe stress 😬

Sema mama unataka tukupe cheo gani kwenye chama chetu cha mabazazi...

Maana tukikujengea sanamu litaishia kunyewa na kunguru...
 
🤣🤣🤣🤣Katibu mkuu kiongozi
 
Back
Top Bottom