Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Ngumu sana kumridhisha mwanamke bila kujifanya fala. Mtakuwa mnashindana kila siku!!!
 
Sana sana aisee.... Wanawake ni headeck
Jamani.....Mbona huu Uzi kila nikisoma naona Wanaume weeengi wanatoaa nyongoo zaoo zote.Hii inaonyesha Ni jinsi gani wengi Wenu Moto unavyowawakia ndani.Ila ushauri.Kabla ya kutoa Riboti kwenye jicho la mwenzako toa kwenye jicho lako kwanza.Na pia Mimi kama Mama nilichogunduaa..mwanzo wa chuki ndani ya ndoa Ni ile Wanaume kupunguza Mapenzi kwa mama,Yale ya mwanzo anayahamishia kwa mchepukoo.Hapo lazima moto uwake.Na kutokujali..Mwanamke ukitaka kumuweza mjari tu.Mfano.Mnunuliege Hata card ya Buku au maua au khanga ya Elfu 5.Fanya ivyo badilikeni.Kero yetu sisi wamama.Kwa wengi wetu.Gubu...kitu kidogooo unaongeaaaaa,Wanaume hawapendi..Kutojiongezaa..Vimradi vya kuongeza kipato mwanamke una kipato but unataka tu Mume ndo awe provider.Utafeli.Pia uchafuuu.Ndugu.Hakuna kero Wanaume hawapendi kama uchafu.Tujipende mwili ndani Na nje.Na pia tukumbukege Kunyoaaaaa!
 
Me ndo naogopaaa mnapoyaweka bayana haya .Mungu wangu nitaoa kwl mie?
Wanasema utamu Wa ngoma ingia ucheze, usiogopeshwe na wengine lkn tambua changamoto zipo tuu, kaka au Dada Wa tumbo moja wanatofautiana sembuse nyie mlokutana wote mna meno 32
 
Mkuu wewe bwaga manyanga, utapata tu mwingine ya nini kubembeleza udhia kama huu...
 
...mwambie aolewe na mshahara,..
 
Ngumu sana kumridhisha binadamu.
Hahahah at least sie tuna form inayoeleweka, heshima na utii,good food and sex ndio basi full amani hatusumbuani.
Ila KE hamna jema! Hata mpewe dunia still itaonekana haitoshi, staki hio nataka ile!!! Mkipendwa sana we become too nice and boring, mkipotezewa oh hatuna mda na nyie. Sasa lipi jema!
 
Hii mada hatuwezi kuimaliza, ni kwamba kila mmoja atavutia kamba kwake. Hivyo ulivyotaja ni according to you, kuna uzi nilianzisha humu wa "wanaume mnaangalia nini mtafutapo mke" majibu ya mle yatakuonyesha picha halisi ya ninachoongelea.

Kuna wanaopata hivyo ulivyovitaja na bado hawajaridhika, kwahiyo ni ngumu kumridhisha binadamu yeyote maana siku zote atataka kile asichokuwa nacho. And kumbuka hauwezi kupata kila kitu in one person,unless umuumbe.
 
Bora kutafuna machangu ukishakojoa unampa hela yake unaoga mmemalimaliza unarudi zako kazini kupiga mishe mishe
 
Tel her
 

Ukitaka kukemea jambo hakikisha unalielewa, mwanamke kuweka mshahara mezani ji mambo ya kidunia kabisa tena hili huashiria wanaume wanataka haki sawa pia. Ukitaka maandiko ya fuatwe acha kumwambia mkeo aweke mshahara mezani biblia wala auuran haitaki hivyo baba tunza familia yako mke akuheshimu na azae kwa uchungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…