Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Ngumu sana kumridhisha mwanamke bila kujifanya fala. Mtakuwa mnashindana kila siku!!!kuwaelewa wanawake kunataka uwe zoba.
1. Ukiwa mtu malavi davi atakuambia Tafuta pesa, hom hapa hatuli hayo malavidavi yako.
2. Ukiwa mtu wa kutafuta pesa sana atakuambia ooh mimi nataka mtu wa kuwa karibu yangu muda ninaomtaka. Daah nashindwa kuelewa.