Ndugu yangu, wa huku si tulikatazwa yangu tukiwa wadogo.Huku ndipo walipo wanawake ambo uptstairs kumechangamka na wenye kuona mbele na utatakiwa uwe flexible kupokea ushauri kutoka kwao kwa sababu huwa na malengo makubwa ya kufanikiwa. Mwanaume asiyependa kushauriwa ndiye atawaona threat tu. Mimi nimeoa pembezoni mwa mlima na ninaona tukipiga hatua kwa speed kubwa kimaendeleo. Kuwa transparent na kukaribisha mijadala ktk kupanga mambo na kuepuka kilevi na uzinzi kutawafikisha mbali kimaendeleo. Tatizo hawapendi maisha ya kona kona wala kudanganywa.
Ukichapiwa mke unahisi aliyekuchapia anakuletea dhereu, dawa ni mbili tu.Akiwa na wanaume wa kukusaidia unajifanya hujui ili usishindane na ukuta.
Sina hakika kama kuna mwanamke asiyechepuka.Ukichapiwa mke unahisi aliyekuchapia anakuletea dhereu, dawa ni mbili tu.
1: Kudili na aliyetembea na mkeo, AU
2: Kumpiga chini mwanamke.
Wanawake wasiochepuka wapo, ipo siku utapata aliyetulia.
Acha hizo kama umeoa mchepukaji sio wote wana tabia hizo wapo wenye maadiliSina hakika kama kuna mwanamke asiyechepuka.
Samahani ukija kuchepuka ukumbuke kauli yangu hii pia.Acha hizo kama umeoa mchepukaji sio wote wana tabia hizo wapo wenye maadili
Na kwenu utaenda on the spot na kurudi sahauMimi ukinitafutia mwenzangu na mm natafuta mwenzio ngoja droo
Kwwhiyo hata mzazi wako alikuwa anachepuka basi uwe hata na staha kidogoSamahani ukija kuchepuka ukumbuke kauli yangu hii pia.
Siku ukichepuka utatamani uje uniombe radhi na hutakuwa nanafasi hiyo. Samahani kama nakuonea.Kwwhiyo hata mzazi wako alikuwa anachepuka basi uwe hata na staha kidogo
Hii namba nyingine nimetoka familia yenye maadili watoto wote baba na mama 1 hakuna mtoto vichochoroni labda niambie wewe family yenu kuna baba wangapi na mama wangapi?Siku ukichepuka utatamani uje uniombe radhi na hutakuwa nanafasi hiyo. Samahani kama nakuonea.
Mtakatifu mtakatifu mtakatifuHii namba nyingine nimetoka familia yenye maadili watoto wote baba na mama 1 hakuna mtoto vichochoroni labda niambie wewe family yenu kuna baba wangapi na mama wangapi?
Haaa haaa heshima yako mie nikichepuka huku hakuna mapenzi na ujue ndoa inavunjika maana sijui kujigawa nikishafika basi sinaga nyongezaMtakatifu mtakatifu mtakatifu
Yangu imeshavunjika kwa uzinzi wa mke wangu.Haaa haaa heshima yako mie nikichepuka huku hakuna mapenzi na ujue ndoa inavunjika maana sijui kujigawa nikishafika basi sinaga nyongeza
Heee pole aise hiyo ni tabia ya mtu na malezi maisha yenyewe haya mmm pole sana mkuu kwanza kwetu aibu eti nimeachika kisa uzinzi duuYangu imeshavunjika kwa uzinzi wa mke wangu.
Natamani kama uniltee mwanamke mwaminifu hivi inaelekea unaweza niletea mmoja.Heee pole aise hiyo ni tabia ya mtu na malezi maisha yenyewe haya mmm pole sana mkuu kwanza kwetu aibu eti nimeachika kisa uzinzi duu
Haaaa haaa daaa mbona hiyo kazi ngumu tafuta taratibu utampataNatamani kama uniltee mwanamke mwaminifu hivi inaelekea unaweza niletea mmoja.
Nimeshindwa...kabisa wala sitanii...Haaaa haaa daaa mbona hiyo kazi ngumu tafuta taratibu utampata
Jitahidi yaani mambo haya unaweza mke ni mzuri wa tabia lakini anapata pasua kichwa, na mme mzuri anapata mke pasua kichwa mimi hujiuliza kwanini Mungu asiwakutanishe wote wenye tabia hizo zakufanana?Nimeshindwa...kabisa wala sitanii...
Mh! Kwa hiyo huwezi mimi naona bora mtu mmoja aniletee anahakikishea kuwa ni mke mwema inatosha mie nampokea tuu kama kifurushi tuu. Akizingua sikasiriki kwa kuwa nimeletewa. Lakini huyo wa kumbembeleza mimi naona akizingua naweza nikanyonga kabisa maana naona kama anacheza na emotional intelligence yangu hivi?Jitahidi yaani mambo haya unaweza mke ni mzuri wa tabia lakini anapata pasua kichwa, na mme mzuri anapata mke pasua kichwa mimi hujiuliza kwanini Mungu asiwakutanishe wote wenye tabia hizo zakufanana?