Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Ndoa ni taasisi Njema na yenye Baraka toka kwa Muumba wa Mbinguni na Nchi...!!!

Nafikiri kuna mahali tunakosea ndipo tunapata tusiyoyatarajia Katika ndoa.
Kuna kauli inaitwa haki sawa kuna watu hawajui kuchanganua maana ya haki sawa wanaleta hadi ndani ya ndoa ndo maana saa hz ndoa zimekuwa na tabu kubwa
 
We itakuwa ulishawachwa na unaempenda
 
Yaani hawa huwa wanakuwa wazuri sana nyakati za mwanzo za uchumba na ndoa. Baada ya miaka3 na kuendelea ndio sasa utamtambua vizuri. Yaani utanyooshwa tu. Chezea wanawake wewe! Unarudi nyumbani ukifika getini unajiuliza niingie au nirudi nilikotoka?
You are very right. Kwa sisi tusiokunywa pombe unatamani urudi home ukiwa umelewa wewe ni kuangusha asubuh ni kuamka na kusepa. Nyumba imekuwa GEREZA.
Ingekuwa kuna uwezekano wa kulala nje, hom unakuja kuwaona na kuondoka ingekuwa amani tupu
 

haya yamenikuta!!!!!!!!!!!!
 
Ndoa ni gereza lazima kuwa makini, kumchagua mfungwa mwenzio mmoja utakayevumiliana naye ndani ya gereza hilo maisha yenu yote
 
Nikweli sababu malezi tofauti,huyu Baba na mama yake walimlea matusi au kutukana kwao kawaida kabisa na huyu malezi yake nae yaku heshimu kila umuonae na umpende kama nafsi yako,sasa hapo nisawa na Kumkoma nyani giladi na Aumbilecho mungu kumemena [emoji23][emoji23]
 
Ni balaa sanaa kuishi na mtu ni kazi ngumu wenye mioyo ya chuma ndo wataoolewa kwakweli ndoa sio kitu cha spotspot,usiolewe kwa kuiga au kisa mtoto au kisa umr umeenda kwa Hyo ukaolewa ili mradi
mambo n mazitooo moto unawaka hahahahah kama hauna uvumilivu kama mimi bora ukajikalia tu ila usijiingize ndoan bila uvumilivu.
 
Upo tayar kuzini mpenz ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…