Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

faraja iko hapa karibu
 
Unajua mnapokutana wawil kila mtu ana akili zake amelelewa kivyake sasa mmoja kumfanya mwingine awe sawa nae ni vigum sana nasema uc4c 2f8
 
Kipi ulicho kiona hajasimulia ndoa ndoa ndoa mazito yapi simulia
 
Vijana wa siku hizi akili ni fyatufytau, kuhimili vishindo vya ndoa hawawezi.

Tatizo mnaingia kwenye ndo bado usela juu, hamkomai kiakili.
 
Yaan ndoa ni kero stress za kijinga utumwa . Kuna kiumbe naishi nacho .jamani nimemvumilia kwa kiwango cha zege ila upendo umekwisha sasa .mtu anarudi saa nane yupo zwiiii anataka akute chakula hajaacha hata Mia ukishika cm yake kila cku lazima chozi likutoke .sasa anavyokuchunga hata ukienda dukani tu atakuhoji Kama upo polisi
 
Mambo ni motooo yataka uvumilivu wa kiwango cha juu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…