Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Mkuu, Sio ndoa tu, UVUMILIVU ni kitu kizuri kwenye kila eneo, Masomo, Kazini etc. Ila Uvumilivu unabwa na NIDHAMU, Nidhamu is the fundamental Key to succes on any angle, Ukitaka kufanikiwa Ndoa, Uchumi, Elimu jamani Discpline inabeba yotee(busara,uvumilivu, upendo etc)
Mimi wakati mwingine huwa najikuta nna kila sababu ya Kukaripia/Kugombeza ila unakuta ijapokuwa nina sababu nzito kufanya hivyo, ila sifanyi nanyamaza tu kimya, au Nitaongea kwa kurekebisha bila kukaripia.
 
sina hakika kama umeolewa wewe
 
we jamaa umenichekesha
 
honestly, mimi nimekuelewa sana, umenifanya nimewaza vingi about myself, wakati mwingine ile urge ya kugombana na mtu wa karibu huja coz tu sina uvumilivu na pia nikiona wengine hawani vumilii naumia kweli.. nadhani pia iliniharibia mahusiano yangu wa mwisho, bf yy alikuwaga na kamsemo he has zero tolerance na mm nikichanganya hasira zangu za karib, bas vurugu tuu..
 
Halafu walivyowajanja, haya hizo kero wanazifanya baada ya kuolewa na kuzaa, ila wangekuwa wanayafanya kabla sidhani kama wengi wao wangeolewa..
 
Ulisha wahi kumsifia? ukamwambia my wife your very beautiful?ulisha wahi mnunulia zawadi hat pipi ya bigboom?ulisha wahi mtoa auting hat nyuma ya ikulu akashangae bahati
Jitahidi kumsoma mkeo,kauli nzuri ni silaha na ngome ktk mahusiano
 
Mimi nadhani kuishi pamoja kama mume na mke ndo kunahitaji uvumilivu.

Wote mvumiliane na sio uvumilivu uwe wa upande mmoja tu.

Kumwona mwenzio ndiye mwenye mapungufu na wewe kujiona uko timilifu nayo ni mapungufu.
Tena mapungufu nakubwa sana.iweje wewe ujione uko perfect?yaani wewe hukosei umekuwa malaika?
 
Na kuishi na mume kunahitaji uvumilivu wa roho ya chuma haaah!!
 
Ulisha wahi kumsifia? ukamwambia my wife your very beautiful?ulisha wahi mnunulia zawadi hat pipi ya bigboom?ulisha wahi mtoa auting hat nyuma ya ikulu akashangae bahati
Jitahidi kumsoma mkeo,kauli nzuri ni silaha na ngome ktk mahusiano
We unajua kukaa na mke...... Hongera
 
Na tambueni kila ndoa na doa lake...huwezi fananisha yakwako na ya mwingine..maisha ya kuiga ni chanzo cha migogoro...mume usela bado anao...mke bado usista duu kibao ..
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
kwaaaaakweeeeliiiii, baeleze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…