Chakula hapiki wala hajui kinachopikwa....Sijui huwa anachat na nani...sababu sasa nimeacha kabisa kumfuatilia ili kujiokoa na Jela au JenezaHuyo naye kazidi inatakiwa chakula apike cha familia hasa mume aku sevie msosi eeeh. Pole kwa Hilo huko mda wote a chart na nani?
Hapo kwenye sala wengi hufanya kama mazoea. Mijitu imetoka na laana kwao.
Hapo hujengi bali unabomoa. Maana na yeye ataenda kutafuta starehe kwingine. Haya mambo hayahitaji ushindaniKila mtu ajitafutie furaha yake mwenyewe sio? Ukifika home ni kulala tu! Wanawake walio wengi (hususani wakristo) hawajielewi, kisa, ndoa ya kikristo inayosema mpaka kifo kiwatenganishe kiukweli huko ndo kunawapa kiburi cha kumjibu mume chochote, popote. Wana sahau nasi tunahitaji upendo na utamu wa papuchi vinginevyo tutautafuta popote ikiwemo kwa SHEMEJI zetu hata kwa MA-HAUSIGELI.
Sijui sababu sasa nimeacha kabisa kumfuatilia ili kujiokoa na Jela au Jeneza
Chakula hapiki wala hajui kinachopikwa....Sijui huwa anachat na nani...sababu sasa nimeacha kabisa kumfuatilia ili kujiokoa na Jela au Jeneza
Wanawake wa aina hii wanastahili kubaki single mileleYani had kinachopikwa hajui majanga haya she has nothing to loose ukute Ana kidumu maana wanawake tukipataga mpango kando hatusikii jambo la yoyote vile
Wanawake wa aina wanastahili kubaki single
Hatarimakubwa mmeanza kuwasema huku...watawanyoosha hakika ....kuna waliooa wanafurahia hawakuwahi hata kujutia kuwaoa wake zao na kuna ambao wanajutia kuoa hahaha..halafu hapo vuta picha na mwanamke ulimwacha bila sababu na alikuonyesha upendo wa dhati halafu ukamwona kama bwege,,,hapo lazima umkumbuke,,,,,tehteh....uwiii
Unaona nijambo rahisiDawa ni kumtafutia mwanamke mwingine, mbona jeuri itaishaa.
Yaani huko ni kujisahau kulikopitiliza kwa wanawake kwa kweli, ni kuzoea ndoa huko ila kila mmoja ana mapungufu na yapo yanayorekebishika
Asikudangenye mtu hakuna mwl wandoa kila ndoa unayoona inamatatizo ila kuvumiliana tuMimi ukinitafutia mwenzangu na mm natafuta mwenzio ngoja droo
Hayo niyakawaida kwenye ndoa yapo makubwa zaidi ya hayoKweli wanatesa wanaume sasa mtu hata kupikia watoto wako uliowazaa eti wa chart eeeh ngachoka kabusa
Wanawake wa kichaga ni kero, unyumba wenyewe kero, mapenzi sifuri na makelele juuMaisha haya mafupi Laiti wanawake wangetambua nafasi yao kwenye ndoa badala ya kupiga piga makelele maisha ya kwenye ndoa yangekuwa kisima cha furaha.
Ni kweli aisee hayo ya usafi ni minor issue sana. Malalamiko yanatuogopesha ambao twafikiria kujiinga na Chama kubaaHayo niyakawaida kwenye ndoa yapo makubwa zaidi ya hayo
Hahaaaaa mbona hzo kero ndogo mkuu.Wanawake wa kichaga ni kero, unyumba wenyewe kero, mapenzi sifuri na makelele juu
Kero ndogo kwako mm naoa nipate furaha ikiwemo kujaamiiana sasa wewe ndani hutoi huduma kutwa makelele na wivu uliopitiliza unataka tushinde tukiangaliana ili iweje? Hapo Hapo unadai hela ya kumtumia mama yako kijijiniHahaaaaa mbona hzo kero ndogo mkuu.
Ukiona hakupi labda wivu unamsumbua sasa anaku komesha inabidi umhakikishie apunguze wivuKero ndogo kwako mm naoa nipate furaha ikiwemo kujaamiiana sasa wewe ndani hutoi huduma kutwa makelele na wivu uliopitiliza unataka tushinde tukiangaliana ili iweje? Hapo Hapo unadai hela ya kumtumia mama yako kijijini
hahaaaVijana msifikir ndoa ni kucheza kwaito na kutuma picha instagram. Kwa wale waliooa kabila lililopo pembezoni mwa mlima mrefu Afrika na kule Kyela moto tunauona!
Aisee hii comment nzito sanaHakuna Mwanaume yoyote amae ameoa hajawahi au hatoumizwa na mwanamke aliemuoa, hayupo, kama yupo basi ni mume bwege au hajitambui au amejitia ukiziwi au upofu kupisha mambo yapite.
hahaa " sasa imagine mwanamke kama huyo ndiye mkeo " haki vile lazima ufe mapemaWe utakua uliokotwa Kimboka
shenzy typeKero ndogo kwako mm naoa nipate furaha ikiwemo kujaamiiana sasa wewe ndani hutoi huduma kutwa makelele na wivu uliopitiliza unataka tushinde tukiangaliana ili iweje? Hapo Hapo unadai hela ya kumtumia mama yako kijijini