Chakula hapiki wala hajui kinachopikwa....Sijui huwa anachat na nani...sababu sasa nimeacha kabisa kumfuatilia ili kujiokoa na Jela au JenezaHuyo naye kazidi inatakiwa chakula apike cha familia hasa mume aku sevie msosi eeeh. Pole kwa Hilo huko mda wote a chart na nani?