Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

kikubwa uvumilivu tu, vinginevyo fika kwa wanasaikolojia wa ndoa huenda kuna pahala unapungua hasa namna ya kumhendo mwenzi wako.
 
Umeolewa?
 
Misaada gani?
 
Pole mkuu kakufanyaje wife wako Ila ndoa siku hizi zina changamoto sana aisee sio kwa kuoa tu mchagga hata wengine. Maana ukikaa na kina mama wakikusimulia yanachosha na kwa wanaume case hyo hyo mnatutisha ambao hatujaolewa aisee
Ukweli Ni kwamba Ni ngumu sana kwa sisi kuwa na mwanamke mmoja,ndo maana hao wamama wanalalamika kea hiyo jiandae mama,mumeo lazima achepuke tu
 
Hahahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…