M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Inafika wakati unatamani mtu usiongeoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndo mtu unaona bora kutafuta mchepuko tu. Wake ndani ndo chanzo kikuu cha waume kujiongezaInafika wakati unatamani mtu usiongeoa
Ndoa ni Tamu mno mkimkabidhi Mungu maisha yenu. Mie sijawahi juta kuingia kwe ndoa nazidi kumuomba Mwenyezi Mungu azidi kuwa pamoja nasi...[emoji120]Hapo ndo mtu unaona bora kutafuta mchepuko tu. Wake ndani ndo chanzo kikuu cha waume kujiongeza
Nyie pengine ni wacha Mungu haswa. Wengi ni waigizaji tu anajidai anafunga na kutoa sadaka mdomo mchafu mitusi imemkaa kama salaNdoa ni Tamu mno mkimkabidhi Mungu maisha yenu. Mie sijawahi juta kuingia kwe ndoa nazidi kumuomba Mwenyezi Mungu azidi kuwa pamoja nasi...[emoji120]
Umeolewa?Je mnajua kukaa na wanaume ni kazi ambayo ni kubwa sana .
Mnatesa sana wake zenu tena mkijua wanawategemea.
Vijidudu vyenu mna sambaza kila mahali .
Nakumletea mwanamke mateso mara magonjwa ya azinaa .
Unampiga kisa umempata alima.
Unampiga kisa umekuka umeleewa huna hata haya kabisa .
Mwanamke aliyekuzalia hawa na adam wazuri wanaofanana nawewe.
Unampiga mpaka unaua mama wawatoto wako halafu unaoa halima.
Au unamfukuza yeye na watoto.wako.
Hamna haya unamjibu mbele za watoto vibaya unamdharau kisa amepitisha mabichwa ya watoto wako kwaaumivu makali wakatoka salama hamna haya kabisa nyie.
Humpi haki yake kwa maana eti ameshazaa hana ladha tamu tena.
Eti kidudu chako kinamfaa amina na halima na akina furaeli sasa umeoa yanini.
Unakuja muda unaotaka eti hapo nikwako na hakuna mtu ambaye atakuambia chochote.
Ukisema unapigwa kama nini .
Unalala kama nini hujui hata watoto wamekula nini.
Kutoa hela yako ni ngumu kwa kila hitaji la watoto.
Unakuta hujalogwa hujakosa chochote hela ipo ila uko radhi ule na malaya na unarudi nyumbani umekula mlo ambao watoto wako hawajala wanamiaka nayo.
Sijawahi kuona watu waajabu
Na akina mama wanaoishi nao nikazi.
Nyie niwanyama mnaotembea na miguu miwili.
Nibora uolewe porini.
Mkienda sasa harusini ataki aonekane nawewe.
Atatafuta sababu mkutane naye ukumbini.
Nyie eti mnamgombeza wake zenu mbele za malaya zenu.
Si umnyamazishe huyo mtoto analia kama nini kumbe mtoto amemis upendo wa baba au ananjaa.
Hajala vizuri asubuhi nyie wanaume mnadhambi sana tubuni.
Misaada gani?Furaha ya ndoa ni pale ukumbini.
Na miaka michache tu ambayo mnaanza kuishi.
Ila mengineyo wai madharau started navipigo na misaada kupungua.
Niwaulize nyie wanyama mnapozaa na mwanamke hao watoto wanakuwa wajirani yako ??
Au wanakuwa wako .
Hivi hizo bar mnazojinadi nazo mnaenda nizakaka zenu au mnahisa hapo kwa maana nyie ni watu ambao laana zipo kwenye maisha yenu yaani mmelaaniwa.
Kazi ipo.
Yaani mnavisa kama mliforciwa huyo mwanamke nauku niwewe ulikubali kumuoa kwa ridhaa yako mwenyewe.
Aisee,upo ambiance hapo?Hakika kuchepuka hakuepukiki hususani ukioa MCHAGA (wanaboa haswaa)
Muujiza Tena??? Piga chini mchaga huyo, chukua chombo nyingineNajuta kuoa uchagani. Nataman muujiza ufanyike hata Leo usiku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vipi tena mkuu, maana wanapenda hela kweliMimi nilishuka njiani aisee,ukiamka kichwa kinawaka moto,ukilala vilevile,hapo bado mama mkwe
Ukweli Ni kwamba Ni ngumu sana kwa sisi kuwa na mwanamke mmoja,ndo maana hao wamama wanalalamika kea hiyo jiandae mama,mumeo lazima achepuke tuPole mkuu kakufanyaje wife wako Ila ndoa siku hizi zina changamoto sana aisee sio kwa kuoa tu mchagga hata wengine. Maana ukikaa na kina mama wakikusimulia yanachosha na kwa wanaume case hyo hyo mnatutisha ambao hatujaolewa aisee
Kuchepuka mbona kawaida tu mkuu haishangazi siku hizi Wana ndoa Wana shindana kuchepukaUkweli Ni kwamba Ni ngumu sana kwa sisi kuwa na mwanamke mmoja,ndo maana hao wamama wanalalamika kea hiyo jiandae mama,mumeo lazima achepuke tu
Ndo maana Mimi nilianzisha Uzi kwamba mwanaume ukitaka kuishi Maisha marefu usioeHapo ndo mtu unaona bora kutafuta mchepuko tu. Wake ndani ndo chanzo kikuu cha waume kujiongeza
Olewa tu mama usiogopeKuchepuka mbona kawaida tu mkuu haishangazi siku hizi Wana ndoa Wana shindana kuchepuka
Olewa tu mama usiogope
Hahahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wewe bwana ndugu wanazaliwa tumbo moja ila kila mtu anakuwa na tabia zake sembuse watu mmekutana tuu kila mtu na makuzi yake. alafu bwana hawa wanawake wewe ukioa ukitegemea sijui kusaidiana na mambo kama hayo itakula kwako. wewe nenda na philosophy kuwa wanawake ni burudani tuu. wewe gegeda bassssssssssss
Huyo Ni mke au changudoa wa sinza?Isee yani ni zaidi ya uvumilivu,mi mke wangu wa ndoa isee akinipa malavidav usiku asubuhi ananidai hela,ukimuuliza anakwambia jana si nimekupa!isee