Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,787
- 45,257
Kumbe bado eeeh [emoji3][emoji3][emoji3]Ni kweli aisee hayo ya usafi ni minor issue sana. Malalamiko yanatuogopesha ambao twafikiria kujiinga na Chama kubaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe bado eeeh [emoji3][emoji3][emoji3]Ni kweli aisee hayo ya usafi ni minor issue sana. Malalamiko yanatuogopesha ambao twafikiria kujiinga na Chama kubaa
Naye ni wa ambiance?Kwa taarifa tu nina mpango wa kumuweka ndani mtoto mzuri Zai 0754950913.
Sio wote tulio na mke kama wewe. Pole kwa kupata mke wa aina hiyo. Mke wangu hana tabia hizo, ananiamini, ananiheshimu na ni msafi pia. Ana matatizo yake kama ambavyo mimi ninayo ya kwangu lakini tunavumiliana maisha yanasonga. Ndoa ni raha tu kwa upande wangu.
Hii comment kama sikuandika mie vile[emoji23][emoji23][emoji23]Duh aiseee
Haha dalili mbaya za kukosa cha asubuhiHii comment kama sikuandika mie vile[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii comment kama sikuandika mie vile[emoji23][emoji23][emoji23]
Yani niki ona vilio hamu inanipaa Kuwa single raha huumii na up.umbavu wa mtu mzima mwenzako loh.Kumbe bado eeeh [emoji3][emoji3][emoji3]
Hela tu za nyumba,gari nzuri na Bata za hapa na pale zipo sana tuu
Uzinzi sio tija unafanyka jinsia zote tu, shida pale mtu haweki familia mbele na kuwekeza kwenye ujinga. Mtu timamu huweka familia mbele, mi tangia nianze kubanjuka na wanaume tofauti tofauti naona hamna jipya zaidi ya kujiongezea mikosi walah. So zinaa haina jipya shida ni pale hudikirii mbele, after uzinzi kipi cha maana unafanya. Uzinzi wafanye yet kujiliza lizaSasa hapo unawaongelea wanaume 99.9999% , sidhani Kama Kuna mwanaume hafanyi uzinzi
HahahahahaaaaaaaaaKatika viumbe vyote, wanawake wamembika kupita wote.
Akili hizi ndo zinawaponzahebu mtupishe, kuna watu wanavumilia kwenye ndoa kama wanawake? tena sio kumvumilia mume tu, unamvumilia mume, wakwe, mawifi na mashemji, tatizo lenu wanaume mnapenda kuabudiwa na hizo zama za mama zetu na bibi zetu zilishapita na wao walikuwa na haki ya kuwanyeyekea sababu walikuwa wanakaa tu nyumbani kazi kuu ni kuzaa na kulea na kumuhudumia mume, sasahv nimwendo wa sawa kwa sawa, haiwezekani wote tunatoka asubuhi kila siku tunarudi wote jioni mwisho wa mwenzi wote tunaleta mezani mishahara, alafu utake kujifanya mfalme wa nyumba. Maisha ya sasa ni kusikilizana na kuelewana kiustaarabu tu nyumba itaenda ila ukileta ubabe kweli ndoa utaiona chungu
Hawa kweli hawafai[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahh ulijipatia mkibosho wa machamee..
"joto la jiwe analijua mjusi" hongera mkuu
Uwe na hofu na Mungu ambaye hayupo?? Si ndiyo utazidisha matatizo sasaSio kuishi na mke tu hata kuishi na mume pia uvumilivu unahitajika tena uwe na hofu na mungu ndo kidooogo utafalu la sivyo utauona moto, na hio yote inaletwa na kutofanya maamuzi sahihi, kukurupuka kuolewa au kuoa kila mmepeana mimba au kutaka watu waone nawe umeoa au umeolewa. Mbaya sana kuoa au kuolewa na mtu ambaye sio rafiki yako mzuri, u will suffer.
Ha haaaaa kweli cjui imekuaje. Kama vile sijaiandika mm, itakuwa mtu alihack acc yangu. Kweli tena sikumbuki kuandika hivyo[emoji23][emoji23][emoji23]Nimewaogopa watu wa JF ,jinsia mbili mbili
Haha dalili mbaya za kukosa cha asubuhi
😂😂😂😂😂Duh aiseee
Umalaya unavumilika kuliko uvuvuzela.Duuu!!! Bila Shaka ya kikristo hip,wife Malaya nini?