Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Duh aiseee
Sio wote tulio na mke kama wewe. Pole kwa kupata mke wa aina hiyo. Mke wangu hana tabia hizo, ananiamini, ananiheshimu na ni msafi pia. Ana matatizo yake kama ambavyo mimi ninayo ya kwangu lakini tunavumiliana maisha yanasonga. Ndoa ni raha tu kwa upande wangu.
 
Sasa hapo unawaongelea wanaume 99.9999% , sidhani Kama Kuna mwanaume hafanyi uzinzi
Uzinzi sio tija unafanyka jinsia zote tu, shida pale mtu haweki familia mbele na kuwekeza kwenye ujinga. Mtu timamu huweka familia mbele, mi tangia nianze kubanjuka na wanaume tofauti tofauti naona hamna jipya zaidi ya kujiongezea mikosi walah. So zinaa haina jipya shida ni pale hudikirii mbele, after uzinzi kipi cha maana unafanya. Uzinzi wafanye yet kujiliza liza
 
hebu mtupishe, kuna watu wanavumilia kwenye ndoa kama wanawake? tena sio kumvumilia mume tu, unamvumilia mume, wakwe, mawifi na mashemji, tatizo lenu wanaume mnapenda kuabudiwa na hizo zama za mama zetu na bibi zetu zilishapita na wao walikuwa na haki ya kuwanyeyekea sababu walikuwa wanakaa tu nyumbani kazi kuu ni kuzaa na kulea na kumuhudumia mume, sasahv nimwendo wa sawa kwa sawa, haiwezekani wote tunatoka asubuhi kila siku tunarudi wote jioni mwisho wa mwenzi wote tunaleta mezani mishahara, alafu utake kujifanya mfalme wa nyumba. Maisha ya sasa ni kusikilizana na kuelewana kiustaarabu tu nyumba itaenda ila ukileta ubabe kweli ndoa utaiona chungu
Akili hizi ndo zinawaponza
 
Naamini kwenye mahusiano lazima kuna poisitive na negative, yaani kuna alie juu na mwingine lazima awe chini ili uweze kudumu hata urafiki wa kawaida tu lazima kuna anayeshuka chini na mwingine anakuwa ndio control. Kama kwenye ndoa wewe umeshindwa tokea mwanzo kujionyesha wewe ndio the boss hakika utapata taabu sana . Ukitaka kuvua samaki hautegi na chips mayai labda kwa sababu wewe unapenda sana chips mayai ila utatumia chambo ambayo samaki anapenda hapo utampata.
 
Sio kuishi na mke tu hata kuishi na mume pia uvumilivu unahitajika tena uwe na hofu na mungu ndo kidooogo utafalu la sivyo utauona moto, na hio yote inaletwa na kutofanya maamuzi sahihi, kukurupuka kuolewa au kuoa kila mmepeana mimba au kutaka watu waone nawe umeoa au umeolewa. Mbaya sana kuoa au kuolewa na mtu ambaye sio rafiki yako mzuri, u will suffer.
Uwe na hofu na Mungu ambaye hayupo?? Si ndiyo utazidisha matatizo sasa
 
Nimewaogopa watu wa JF ,jinsia mbili mbili
Ha haaaaa kweli cjui imekuaje. Kama vile sijaiandika mm, itakuwa mtu alihack acc yangu. Kweli tena sikumbuki kuandika hivyo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom