Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Ndoa zao ndo shida daily kuoana na kupeana talaka. Hafu takwimu za serikali mikoa inayooa wake wengi ndo inaongoza kwa talaka. Ka.mke mmoja kamshinda wanne si ndo watamuua kabisa
kama kweli wangekuwa watulivu hizo talaka zinazotoka usiku na mchana zinasababishwa na nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Changamoto hazikimbiwi in life unazichelewa tu ila zipo pale pale wala usiogope oa umpendae purukushani zipo kuna time mpaka vinachekesha siku zinakwenda
Kabisaa yan.Kuna kipind mnapambanaa mpaka inawabid mcheke tu kwa vituko vyenu maisha yanaendelea mbele..
 
Ndoa zao ndo shida daily kuoana na kupeana talaka. Hafu takwimu za serikali mikoa inayooa wake wengi ndo inaongoza kwa talaka. Ka.mke mmoja kamshinda wanne si ndo watamuua kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini hao wanaooa mke zaidi ya mmoja hawajawahi kushindwa kuwahudumia kwani wanakuwa wameshajitathmini uwezo wao wa kirijali.
 
Wake wanne watakuua mana hutaweza kuwaridhisha kimwili watakuzalia watoto wa nje. Kwenye life changamoto haziishi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume kiasili ni majasiri, na ni wengi sana tunawaona mtaani wana wake zaidi ya mmoja na hawajafa, ulishaona wapi dume la mbuzi likauawa na majike, dume moja laweza kuhandle majike 10 mpaka 20
 
Wengi hawana nguvu za kiume hao tena wahuni ndo hawajui kabisa mapenzi
Wanaume kiasili ni majasiri, na ni wengi sana tunawaona mtaani wana wake zaidi ya mmoja na hawajafa, ulishaona wapi dume la mbuzi likauawa na majike, dume moja laweza kuhandle majike 10 mpaka 20

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kweli wengi watoto wao wa kweli ni wa mke wa kwanza tu.shoga wangu kaolewa mitala anachepuka huyo mume hufanya kimoja na wako wanne sasa hapo sikutesana aisee
Naamini hao wanaooa mke zaidi ya mmoja hawajawahi kushindwa kuwahudumia kwani wanakuwa wameshajitathmini uwezo wao wa kirijali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuwatandika hakujengi wala kubadilisha zaidi unamjengea hofu tu na sio heshima, na ulichomzingua nacho atafanya lakini kwa bas tu sio kwa mapenzi ambavyo si sawa ataboronga tu ilimradi afanye
 
Tena ukitaka kuivunja ndoa yako jidanganye kuoa mke wa pili.. hakuna Rangi utaacha kuona ..kwanza mngejua ndoa nyingi zimedumu kwa uvumilivu wa wanawake ..wanawake oyeeeeee
Dawa ni kumtafutia mwanamke mwingine, mbona jeuri itaishaa.

Yaani huko ni kujisahau kulikopitiliza kwa wanawake kwa kweli, ni kuzoea ndoa huko ila kila mmoja ana mapungufu na yapo yanayorekebishika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena ukitaka kuivunja ndoa yako jidanganye kuoa mke wa pili.. hakuna Rangi utaacha kuona ..kwanza mngejua ndoa nyingi zimedumu kwa uvumilivu wa wanawake ..wanawake oyeeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha wajidanganye tu, mke mkubwa mpenda shughuli anashindwa kumdhibiti, mke wa pili mpenda vigodoro mama upatu, kama hata changanyikiwa, au anaoa polisi na nurse haa haaa [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…